Yanga leo wanacheza kweli? Mbona mitandao kimya sana?

Yanga leo wanacheza kweli? Mbona mitandao kimya sana?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nilijua leo hawa wajomba wapo uwanjani, ila hadi sasa sijaona kwenye mitandao.

Wale mashabiki lia lia huwa wanatupa burudani mitandaoni kuliko timu yao.
 
Back
Top Bottom