Yanga leo watafungwa 4-0

Yanga leo watafungwa 4-0

Najua unasumbuliwa na wivu tu huna lolote [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa nipate wivu kwa losers?FA mmetolewa na Singida,ligi kuu hamna chenu
 
Kwa kuwa wamezoea kufungwa. Basi hakuna cha ajabu hapo. Acha apigwe
 
Mechi saa ngapi na wanaonyesha channel gani?
 
Hata mi ningependa ishinde kwa vile inatuwakilisha lakini uwezo wako mdogo,hawana Yondani,Kamusoko,Chirwa,Ajibu,Tambwe unategemea nini hapo

Kwani wamesajili pungufu??
 
hata tukifungwa hatutoki. Tunaendelea kupambana. Kwa hesabu ya haraka tunahitaji point 10 ili kufuzu hatua inayofuata, uwezo wa kuzipata pia tunao
 
Ingependeza saaana yanga kushinda. Tatizo uwezo "hawana".
Matamanio bila juhudi,maarifa n.a. mbinu ni bure!
Nawatakia wapate wanachostahili.
Ningewatizama lakini kuna "big match"siwezi kuangalia chandimu!
Una wivu kama mkeo?
Mamamayo
 
Sasa nipate wivu kwa losers?FA mmetolewa na Singida,ligi kuu hamna chenu
Bora aliyetolewa na singida, kuliko mikia fc ilitolewa na timu daraja la 3, Green warrios
 
Back
Top Bottom