YANGA-Ligi ya Mabingwa Afrika

YANGA-Ligi ya Mabingwa Afrika

Mfumwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
1,455
Reaction score
42
Jee kesho Yanga watatupa raha dhidi ya Etoile d'Or Mirontsy ya Comoro?.
Kila la heri Yanga.
 
Mechi inaendelea mpaka sasa hivi matokeo ni 1-1,ni kipindi cha pili sasa..Goli la Yanga limefungwa na Boniface Ambani
 
Sasa ni dakika ya 9 kipindi cha pili Jeryson Tegete anaipatia Yanga goli la pili..Chanzo: Dullonet
 
Yanga sasa hizi ni sifa ama,mpaka sasa ni 5-1(Ndhlovu kafunga la 4 dk ya 28 na Tegete kaongeza la 5 dk ya 30),Yanga wanatishaaaaaaaaaaaaa
 
Yanga wanapata goli la 8 dakika ya 40 mfungaji Boniface Ambani
 
Hii timu ya Comoro ngumu sana kufungika na hii inaamisha kuwa Yanga ni timu kubwa na imejiimarisha na kusema kweli inatisha!Tuegemee matokeo mazuri kwenye mechi zinazofuatia.
 
Mpira umekwisha Yanga 8 Etoile d'or Mirontsy ya Comoro 1...Hongereni mashabiki wa Yanga
 
Balantanda asante kwa updates, marudiano nadhani itakuwa mteremko kwa Yanga. Kila la heri timu ya Yanga katika kuliwakilisha Taifa.
 
Tunawashukuru wa-comoro kwa kulipa fadhila za kuwakomboa kijeshi
 
Back
Top Bottom