Yanga lipeni kwanza madeni ya mzee Azim Dewji

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
MZEE TUTUME MACHAWA TUKADAI [emoji108][emoji2957][emoji3]

"Mwaka 1994 Simba tulifanya vibaya kimataifa Yanga wakafanya vyema, Yanga hawakuwa na pesa yakucheza mechi ifuatayo, kiongozi wao Gulamali na mwenzake wakaomba niwakopeshe dola 4500, Yanga hawakurudisha mpaka leo na hakuna ubaya wowote, tunatakiwa tuweke mbele uzalendo sio utimu."

-[emoji2788] Mzee Azim Dewj Shabiki, Mwanachama na Mfadhili wa zamani wa @simbasctanzania

 
Huyu mzee awahishwe Dodoma.

Nikiona habari zake nakumbuka ya pasi kusababisha mgao wa umeme.
 
Huyu Ponjoro na ndugu yake Mudi ni waongo waongo sana
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aweke ushahidi mezani.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni aniletee madai nimwandikie cheki ya $4500 kusudi anyamaze.Gulamali alishatangulia mbele ya haki lakini bado anafedheheshwa hadharani kuwa hakuwa na $4500 akaenda kuzikopa kwa mdhamini wa Simba wakati sisi wanayanga tupo na Gulamali Mwenyewe hawezi kujitetea?
 
Huyu mzee awahishwe Dodoma.

Nikiona habari zake nakumbuka ya pasi kusababisha mgao wa umeme.
Milembe ndiyo yawe makazi yake. Gulamali akakopee kwake? Marehemu hawei kujiteteq.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…