Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watawezana!View attachment 1485612
Mashabiki wa Yanga wakipaza sauti hawamtaki Yikpe.
Hii sio sawa kabisa. Mngevumilia ligi iishe muone usajili mpya. Mnawatisha wachezaji hata nafasi ya pili mtakoss
#Icantbreath
#YangaLivesMatters
Na ndio sababu mna timu ya hovyo hovyo. Mnapewa maoni mazuri unaibuka na kagere km njia ya kuukata ukweliKagere ana magoli mangapi ya offside na penalty za uzushi
Weee ndoroboooo Acha kulia lia kwani mlikuwa mmejipangaje????Ok magoli mangapi halali ya Yanga yanakataliwa toka msimu uliopita na penalty halali..Msomali anafikiria Malinzi alikuwa anaibeba Yanga analipizia Msuva Tambwe na Ngoma walikuwa hatari sana ..nakumbuka mechi na Prison Mbeya Kakolanya alidaka penalty..lini Simba wamepigiwa penalty wakati makosa ni mengi wanafanya ..double standard