OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Huo muunganiko uliuona?Kwenye friendly match, kocha hutafuta kuona kitu fulani iwe mchezaji, muunganiko nk. Ushindi ni bonus.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo muunganiko uliuona?Kwenye friendly match, kocha hutafuta kuona kitu fulani iwe mchezaji, muunganiko nk. Ushindi ni bonus.
Ni washabiki wa timu fulani pekee ndio: 1. Wanaoshindwa kutofautisha baina ya kikosi kamili na kikosi cha kwanza, na ya kikosi cha kwanza na kikosi cha kwanza kamili 2. Wanaoitikia bila vinanda wimbo wa wanatimu wenzao ndani ya TFF wa kuhusisha mavazi nadhifu na benchi la ufundi hata kabla ya kujua maana ya neno ‘nadhifu’ 3. Wanaodhani ufundi mpirani ni kucheza mpira badala ya kucheza ushindi 4. Wasiojua kwamba timu ndogo kama Pamba ndiyo inakuwa na ari zaidi ya ushindi inapocheza na timu kubwa kama Yanga, kwamba timu inapocheza na upungufu wa mchezaji ndiyo inakuwa na motisha zaidi wa kucheza kwa nguvu, na kwamba wachezaji wenye mechi muhimu zaidi usoni hukosa ari ya kucheza jihadi kwenye mechi za maandalizi 5. Wanoichukia Yanga kiasi cha kujikuta wakidanganya kuwa wako Mwanza ilhali wanaendelea na mishemishe zao za kawaida mitaani mwao 6. Kama kweli wako Mwanza, wanaofanya kisebusebu cha kuichukia Yanga kumbe hawajiwezi mpaka wakaione ikicheza. 7. Wanaoshindwa kujua kwamba mechi ya kirafiki ikimalizika salama bila ya timu yenye mashindano makubwa usoni kupata majeruhi basi wapenzi wake wanapaswa kuungana na benchi lao la ufundi kufurahia hali hiyo bila ya kujali matokeo ya mechi yenyewe 8. Wanaosahau kwamba hata Yanga ikifungwa mechi zote za kirafiki, kimataifa na za ligi, matokeo hayo hayatafuta ukweli kwamba timu yao wanayoiona ndio bora duniani bado itabaki kuwa imetolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye raundi ya kwanza.Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.
Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi Thabit kupigwa red card
Pamoja na kuponea kwenye tundu la sindano Yanga imeendelea kutokuonyesha ufundi wowote ikizidiwa kwa mbali sana na Pamba
Kocha wa Pamba akiwa amevali nadhifu suti kali amekisifia kikosi chake na kuahidi kuirejesha Pamba ligi kuu.
Mwinyi Zahera akiwa amevalia bukta amesema kikosi chake bado hakiko vizuri na wamekosa magori mengi.
Mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia droo na timu ya daraja la kwanza
Vipi Viongozi,Kocha na watazamaji walivaa vipensi?Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.
Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi Thabit kupigwa red card
Pamoja na kuponea kwenye tundu la sindano Yanga imeendelea kutokuonyesha ufundi wowote ikizidiwa kwa mbali sana na Pamba
Kocha wa Pamba akiwa amevali nadhifu suti kali amekisifia kikosi chake na kuahidi kuirejesha Pamba ligi kuu.
Mwinyi Zahera akiwa amevalia bukta amesema kikosi chake bado hakiko vizuri na wamekosa magori mengi.
Mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia droo na timu ya daraja la kwanza
Nasema unatafutwaHuo muunganiko uliuona?
Haujaandika kama mwanamichezo, umeandika kama mpenzi wa Mikia Fc.Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.
Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi Thabit kupigwa red card
Pamoja na kuponea kwenye tundu la sindano Yanga imeendelea kutokuonyesha ufundi wowote ikizidiwa kwa mbali sana na Pamba
Kocha wa Pamba akiwa amevali nadhifu suti kali amekisifia kikosi chake na kuahidi kuirejesha Pamba ligi kuu.
Mwinyi Zahera akiwa amevalia bukta amesema kikosi chake bado hakiko vizuri na wamekosa magori mengi.
Mashabiki wa Yanga wameonekana kushangilia droo na timu ya daraja la kwanza
HajielewiHaujaandika kama mwanamichezo, umeandika kama mpenzi wa Mikia Fc.
Ni kweli ni mtoa ni kati ya wale mbumbumbu wa hali ya juu sana Rage aliowatajaHaujaandika kama mwanamichezo, umeandika kama mpenzi wa Mikia Fc.
kwani kashatoka?Yanga haitatoka..?
Ligi ndio ishaanza hivyo,wakati mnaunganika muwe mnatafuta na sababu za kushika nafasi ya 3Nasema unatafutwa
Acha ubishi mwaka huu hatuna timu hata tuongee vipi timu yetu ni mbovuNi washabiki wa timu fulani pekee ndio: 1. Wanaoshindwa kutofautisha baina ya kikosi kamili na kikosi cha kwanza, na ya kikosi cha kwanza na kikosi cha kwanza kamili 2. Wanaoitikia bila vinanda wimbo wa wanatimu wenzao ndani ya TFF wa kuhusisha mavazi nadhifu na benchi la ufundi hata kabla ya kujua maana ya neno ‘nadhifu’ 3. Wanaodhani ufundi mpirani ni kucheza mpira badala ya kucheza ushindi 4. Wasiojua kwamba timu ndogo kama Pamba ndiyo inakuwa na ari zaidi ya ushindi inapocheza na timu kubwa kama Yanga, kwamba timu inapocheza na upungufu wa mchezaji ndiyo inakuwa na motisha zaidi wa kucheza kwa nguvu, na kwamba wachezaji wenye mechi muhimu zaidi usoni hukosa ari ya kucheza jihadi kwenye mechi za maandalizi 5. Wanoichukia Yanga kiasi cha kujikuta wakidanganya kuwa wako Mwanza ilhali wanaendelea na mishemishe zao za kawaida mitaani mwao 6. Kama kweli wako Mwanza, wanaofanya kisebusebu cha kuichukia Yanga kumbe hawajiwezi mpaka wakaione ikicheza. 7. Wanaoshindwa kujua kwamba mechi ya kirafiki ikimalizika salama bila ya timu yenye mashindano makubwa usoni kupata majeruhi basi wapenzi wake wanapaswa kuungana na benchi lao la ufundi kufurahia hali hiyo bila ya kujali matokeo ya mechi yenyewe 8. Wanaosahau kwamba hata Yanga ikifungwa mechi zote za kirafiki, kimataifa na za ligi, matokeo hayo hayatafuta ukweli kwamba timu yao wanayoiona ndio bora duniani bado itabaki kuwa imetolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye raundi ya kwanza.
Nafasi yetu ya kawaida inajukikana. Sasa itasoma 28!Ligi ndio ishaanza hivyo,wakati mnaunganika muwe mnatafuta na sababu za kushika nafasi ya 3
Mikia FC buana.Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba.