Habari wadau,
Kama mwanayanga nina huzuni na matokeo ya mbeya.. na pia nina huzuni ya wivu wa mafanikio ya mtani simba.
Natambua kabisa mchawi wetu yanga ni hela kama kuna mwanayanga hatambui hilo naomba alitambue.
Kikosi cha simba kina watu wa gharama wengi tu. Ndio maana ana uwezo wa kupata matokeo popote..hata kwenye ligi wana uhakika wa ubingwa japo ligi tunaongoza sisi na ubingwa wataupata tu wakiamua sababu wana watu wa kuleta matokeo wengi . Sisi yanga tunatumia wachezaji wa bei nafuu lazima tulie tu.
Pia laana ya kumuacha david molinga kwa majungu ndio inatutafuna.. mpaka leo hii yanga hatuna mchambuliaji hata mmoja anayejua kujiposition kama molinga, japo molinga kibonge ila alifunga magoli kibao ambapo washambuliaji wote wa yanga waliopo leo hakuna atakayemfikia magoli molinga kwa hizi dalili.