Yanga, mchukueni Barbra maana imekuwa tabia yenu kuvizia makapi ya Simba na kubeba

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.

Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.

Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Unateseka ukiwa ktk mkao upi we Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC [emoji848][emoji1787]
 
Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.

Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.

Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kwani hufahamu kama Morisoni alichukuliwa na simba kutoka Yanga?
 
Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.

Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.

Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Litakuwa Jambo jema sana, kikubwa katika maisha ni uwezo wa kutenda. Sioni dhambi kwa Dunia hii ya ushindani eti kuona aibu kumchukua mfanyakazi mahiri kutoka kwa mpinzani. Yanga kama nafasi ipo mpeni kazi Barbara, Makolo wamefilisika.
 
Relax mbona unahofu kama umekatika mkia
 
Kumuita Barbara makapi wakati huwezi kuwa hata mfua jezi wa Simba ni Uzwazwa.
 
Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.

Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.

Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Morrison alianza kuchezea Simba? Ama kweli ukiwa mbumbumbu ni shida sana
 
Litakuwa Jambo jema sana, kikubwa katika maisha ni uwezo wa kutenda. Sioni dhambi kwa Dunia hii ya ushindani eti kuona aibu kumchukua mfanyakazi mahiri kutoka kwa mpinzani. Yanga kama nafasi ipo mpeni kazi Barbara, Makolo wamefilisika.
Barbra amekuwa mahiri sasa baada ya kujiuzulu si mlikuwa mnasema humu demu ya mudi ?
Luc eymael hakukosea kuwaita manyani mambwa mnabweka bweka hovyo
 
Mtoa uzi samahani nimekutukana.

Leo unamuita Barbra makapi?

Ama kweli Simba Ina washabiki!
 
Barbra amekuwa mahiri sasa baada ya kujiuzulu si mlikuwa mnasema humu demu ya mudi ?
Luc eymael hakukosea kuwaita manyani mambwa mnabweka bweka hovyo
Kama Barbara ni Makapi basi kweli umedhihirisha nyie ni mbumbumbu fc. Na ukweli uko palepale demu ya mudi.
 
Kwani walikwambia Babra ndio mmiliki wa Simba?, Au hukujua Kama alikuwa mfanyakazi?. Mihemko mingine punguzeni acha kuwa mpuuzi kwa Mambo ya kawaida, au wewe ulijua atafanya kazi mpaka umauti wake akiwa Simba?
 
Barbra sio kapi, dogo kuwa na heshima.

Yule dada kazi aliyoifanya kuitangaza Simba SC hasa nje ya mipaka yetu, inajieleza yenyewe.
 
Kama Barbara ni Makapi basi kweli umedhihirisha nyie ni mbumbumbu fc. Na ukweli uko palepale demu ya mudi.
Sawa demu ya mudi kavae na wewe bikini na vikuku mudi akuone
 
Mimi bado sijaelewa, Babra kajiuzulu Simba, ila mleta mada kahamishia hasira zake kwa Yanga. Kwani Yanga mmemfanya nii mleta mada?
 
Back
Top Bottom