Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.
Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.
Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app