Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Unateseka ukiwa ktk mkao upi we Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC [emoji848][emoji1787]Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.
Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.
Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kwani hufahamu kama Morisoni alichukuliwa na simba kutoka Yanga?Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.
Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.
Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Litakuwa Jambo jema sana, kikubwa katika maisha ni uwezo wa kutenda. Sioni dhambi kwa Dunia hii ya ushindani eti kuona aibu kumchukua mfanyakazi mahiri kutoka kwa mpinzani. Yanga kama nafasi ipo mpeni kazi Barbara, Makolo wamefilisika.Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.
Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.
Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Relax mbona unahofu kama umekatika mkiaLeo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.
Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.
Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kumuita Barbara makapi wakati huwezi kuwa hata mfua jezi wa Simba ni Uzwazwa.Leo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.
Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.
Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Morrison alianza kuchezea Simba? Ama kweli ukiwa mbumbumbu ni shida sanaLeo nimeona Yanga wameingia mkataba wa kisheria na kocha Sebastian Nkoma kufundisha Yanga Princess, Nkoma alikuwa kocha wa Simba Queens.
Yanga hao hao wanaye Haji Manara, maarabu wa nguruka, Yanga hao hao walikuwa na Senzo.Yanga hao hao wakamchukua Morrison aliyefukuzwa Simba.
Sasa nawaambia mchukueni na Barbra, maana imewauma sana kujiuzulu Simba, nyie c mnavizia makapi, haya sasa huyo hapo, akapambane na Manara huko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Huyo kichwa chake ni mfuniko wa shingo mkuu hana ubongo huyo[emoji28][emoji28]Kwani hufahamu kama Morisoni alichukuliwa na simba kutoka Yanga?
Mkao ule aliokufundisha kabw.l hapo jangwaniUnateseka ukiwa ktk mkao upi we Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC [emoji848][emoji1787]
Barbra amekuwa mahiri sasa baada ya kujiuzulu si mlikuwa mnasema humu demu ya mudi ?Litakuwa Jambo jema sana, kikubwa katika maisha ni uwezo wa kutenda. Sioni dhambi kwa Dunia hii ya ushindani eti kuona aibu kumchukua mfanyakazi mahiri kutoka kwa mpinzani. Yanga kama nafasi ipo mpeni kazi Barbara, Makolo wamefilisika.
Kama Barbara ni Makapi basi kweli umedhihirisha nyie ni mbumbumbu fc. Na ukweli uko palepale demu ya mudi.Barbra amekuwa mahiri sasa baada ya kujiuzulu si mlikuwa mnasema humu demu ya mudi ?
Luc eymael hakukosea kuwaita manyani mambwa mnabweka bweka hovyo
Sawa demu ya mudi kavae na wewe bikini na vikuku mudi akuoneKama Barbara ni Makapi basi kweli umedhihirisha nyie ni mbumbumbu fc. Na ukweli uko palepale demu ya mudi.
Achana na Huyo Teja bin zwazwaKwani hufahamu kama Morisoni alichukuliwa na simba kutoka Yanga?