Yanga mchungeni sana Baghdad Bounedjah wa Etoile du Sahel

Yanga mchungeni sana Baghdad Bounedjah wa Etoile du Sahel

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Etoile du Sahel ina mshambuliaji hatari sana ambaye ni raia wa Algeria na ni mshambuliaji pia wa timu ya taifa ya Algeria. Jamaa anatupia kambani kama hana akili, na mwaka jana alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Tunisia. Mwenye macho haambiwi ona

attachment.php
 
Hata yanga tunae Amiss tambwe raia wa Burundi na mfungaji bora wa ligi ya Tanzania bara msimu uliopita.....
 
Achungwe Kwani Amekuwa Kuku au Ng'ombe? Mtawachunga Sana Ila Kesho Kufungwa Kwenu Ni Sawa Na Israeli Na Roho Ya Binadamu.
 
Msuva pia anachezea timu ya taifa ya TZ na ana mabao 13,Tambwe mabao 9!!
 
Hata yanga tunae Amiss tambwe raia wa Burundi na mfungaji bora wa ligi ya Tanzania bara msimu uliopita.....
Ameugua malaria na anameza mseto. Confirmed hatacheza
 
Kumbukeni mchezaji wa timu ya taifa ya Algeria iliyo bora kuliko timu zote za Africa kwa mujibu wa FIFA rankings. Akina Msuva wanachezea timu ya taifa ya Tanzania iliyo ya 100 duniani, na Tambwe si mchezaji tena wa timu ya taifa ya Burundi
 
Back
Top Bottom