Yanga mchunguzeni Senzo huenda ni pandikizi la Simba

Chura

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,385
Reaction score
2,402
Kuna viashiria vingi kuondoka kwa Senzo Simba haikuwa bahati mbaya bali mpango mahususi wa kuiangamiza Yanga maana huyu bwana tangu ujio wake ni draw na aibu za wagosi.

Hii tabia ya utani wa jadi ya kukomoana imesababisha Yanga kuokota jasusi la msimbazi wao wakidhani wanaikomoa Simba kumbe wameokota nyoka.

Viashiria vipo Simba wameifanyia Yanga ujasusi kwa kumpandikiza senzo kama mvurugaji (lone saboteur) Huyu takataka ndio anaihujumu Yanga akisaidiana na kina Hopeless Kaze.

Simba kwa kujikuta smart fellas si wakawahadaa Yanga eti wanamfungulia Senzo mashtaka kumbe ni mtu wao na ile ni danganya toto

For the sake of Yanga welfare watimue hii ya jasusi.
 
Mchezaji aliepokewa kwa shangwe airport yeye mwenyewe alikua anashangaa yanga kuna wapigaji wengi mno wananunua magarasa kwa kutudanganya na mapokezi makubwa.
 
Leo yanga imetoa draw na polisi wakiwa nusu uwanjani hakika yanga ni utopolo square!
Kina sopong walikuwa wanalukaluka tu kama maharage jikoni
 
Walichokikosa Yanga ni Kocha tu huwezi chukua Kocha kama kaze aje ajenge CV Kwa timu ambayo 90 asilimia wachezaji ni wapya yani uwezo wa kaze ni ule sasa kule nyuma Mwambusi alikuwa anamsaidia
 
Leo yanga imetoa draw na polisi wakiwa nusu uwanjani hakika yanga ni utopolo square!
Kina sopong walikuwa wanalukaluka tu kama maharage jikoni
Sarpong hakucheza leo.
 
(Utopolo ) u need to relax...Kwasasa hivi mnaugonjwa hatari wa Panic Disorder
 
Vyura naona dawa inawaingia sasa mnatapata kama kuku aliyekatwa kichwa. Wakati mnajifanya unbeaten mlikua mnakubali sana upepo umebadilika mnaona ni pandikizi la Simba. Endeleeni kutulia ivoivo na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…