Yanga mechi zenu za ligi kuu zilizobaki zitumieni vizuri kwa ajili ya kulinda afya zenu

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Watani zangu nawashauri sasa mechi zenu za ligi kuu zilizobaki mzitumie kwa ajili ya kufanya mazoezi ya kupunguza vitambi tu, hii ligi msimu huu Simba SC ameshachukua ubingwa.

Vilevile kutokana na ugonjwa wa upumuaji unaotukabili kwa sasa, nawashauri pia mzitumie mechi zenu kwa ajili ya kujenga miili yenu msiweze kushambuliwa na kile kirusi kinachotafuna mapafu.
 
Ngoja Fiston na Nchimbi forward matata kabisa wafunguke mechi zijazo.utaelewa kama Yanga ubingwa ni wakwao.
Walikua kwanza wanasoma ramani ya vita,ngoja sasa uone mziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…