denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Watani zangu nawashauri sasa mechi zenu za ligi kuu zilizobaki mzitumie kwa ajili ya kufanya mazoezi ya kupunguza vitambi tu, hii ligi msimu huu Simba SC ameshachukua ubingwa.
Vilevile kutokana na ugonjwa wa upumuaji unaotukabili kwa sasa, nawashauri pia mzitumie mechi zenu kwa ajili ya kujenga miili yenu msiweze kushambuliwa na kile kirusi kinachotafuna mapafu.