Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Zipi tena?πππUmeskia wapi hizo habar za uzushi??
ππππ Aziz Ki anapenda awe mkubwa, hata wakati akiwa na Mayele alikua anataka yeye ndio aimbwe kuliko Mayele.Ukocha ndiyo nadhani Aziz Ki anaupenda kuliko kuwa mchezaji wa Yanga.
Matukio mengi ya Aziz ndani na nje ya uwanja yanaonesha anapenda zaidi kuelekeza wachezaji wenzake kuliko kucheza.
Nasikia yeye na Manqoba walikuwa hawaivi kisa kufanya kazi ya ukocha badala ya uchezaji.
Yanga Sasa na Aziz Ki wao... Hawaelewi. Jamaa anapenda sana kuwa maarufu kila sekta ya mpira pale klabuni kwao.ππππ Aziz Ki anapenda awe mkubwa, hata wakati akiwa na Mayele alikua anataka yeye ndio aimbwe kuliko Mayele.
Lol
Ana Ego sana huyo Domo jekundu. LolYanga Sasa na Aziz Ki wao... Hawaelewi. Jamaa anapenda sana kuwa maarufu kila sekta ya mpira pale klabuni kwao.
Mna bahati angekuwepo kwenye derby angewaweka.Ana Ego sana huyo Domo jekundu. Lol
Amuweke nani? Muambieni awe kocha, bado hajachelewa mbona.Mna bahati angekuwepo kwenye derby angewaweka.
Huyu tunampa na kadi ya uanachama mtamkoma π πAmuweke nani? Muambieni awe kocha, bado hajachelewa mbona.
πππ
Kwan mobeto hana π humu JFAna Ego sana huyo Domo jekundu. Lol
Sijui km anayo, yule kichwani empty, yeye anaweza Insta na Tiktok tu.Kwan mobeto hana π humu JF
Atajikoma yeye, mtu kasha jiishia zake kaamua kuja kula pension ya mafao hapoHuyu tunampa na kadi ya uanachama mtamkoma π π