Yanga mjifunze leo kwa simba mwakani msinitie aibu

Yanga mjifunze leo kwa simba mwakani msinitie aibu

Wanasimba tuendelee kujipongeza goli moja hilo tusiumie sana shida hawa wanaongea sana waweke akiba mwakani watapenya kweli?
Jufunzeni mpira kwa simba msijetolewa mapema au mtasusa kwenda

Timu nne mwakani
Tunahitaji waganga wenu
 
Tatizo mnapenda sana kujisahaulisha...

Yaani safari hii mnaona ni kama bahati mbaya tu

Kwa kuona huko bahati mbaya mnataka kujisahaulisha kwamba Simba kushinda 3-0 Benjamn Mkapa sio habari na kula kichapo cha mbwa koko nje ya Mkapa pia sio stori!!!

Yaliyotokea safari hii ni kawaida...

Mmetoka kwa sababu mlikula kichapo cha 4-0 jambo ambalo sio geni kwenu!!!

Kwa maana nyingine, hakuna cha kujifunza hapo kwa sababu hakuna jipya!!!
 
Tatizo mnapenda sana kujisahaulisha...

Yaani safari hii mnaona ni kama bahati mbaya tu....
Kwani wewe hujawahi kupotea mpaka uwanja wa ndege mwakani yanga mtatia huruma mtengeneze Timu bila hivyo mtaishia mechi moja hata group stage hamfiki nyinyi
 
Kwani wewe hujawahi kupotea mpaka uwanja wa ndege mwakani yanga mtatia huruma mtengeneze Timu bila hivyo mtaishia mechi moja hata group stage hamfiki nyinyi
Kwa kuzingatia yanayoendelea hivi sasa, yaani unataka Yanga kujifunza kwa kutandikwa 4-0 ugenini, na kushinda 3-0 Mkapa!! Sasa unataka Yanga ijifunze nini hapo?! Au unataka ijifunze "kufa kiume"?!

Naona habari za Bingwa Ajae hazipo tena, lakini mnataka tujifunzwe kula bao nyingi ugenini?!
 
Mkuu wew na Azam kuna gap ya points ngapi et!
Chifu,

Hoja iliyopo mezani ni kwa Dar es salaam Young Africans Sports Club kujifunza kwa Manyau FC kula Kichapo Lumbesa ugenini na kutoa kichapo Kisado pale Mkapa!!

Usitoke kwenye lane... anzia hapo!!
 
simba kafa,hayo mengine ni makelele tu.

haya njoeni vpl tff aendelee kuwabeba.
 
Nyambaf..., tujifunze kutolewa?

Mmeroga sana! Manara mpaka kamtoa bibi yake ila wapi!!!

Tujinze nini?
 
Wajifunze kutolewa ?, Wajifunze waliyofanya huko nyuma mpaka kufikia hatua hii ila sio kutoka, (Au wajifunze jinsi ya kutokutolewa)?
Wajifunze kupambana kwa kucheza mpira wa kiwango uwanjani na kupata matokeo.
Sio kulalamikia marefa tu na kulilia penati.
 
Back
Top Bottom