Yanga mjifunze leo kwa simba mwakani msinitie aibu

Yanga mjifunze leo kwa simba mwakani msinitie aibu

Chifu,

Hoja iliyopo mezani ni kwa Dar es salaam Young Africans Sports Club kujifunza kwa Manyau FC kula Kichapo Lumbesa ugenini na kutoa kichapo Kisado pale Mkapa!!

Usitoke kwenye lane... anzia hapo!!

Hicho kichapo kisado na timu lako bovu ungekitoa?
Uto bana
 
Hizo ndizo akili za kitopolo mlizo nazo mpira na uganga wapi na wapi
Haukucheza mpira labda. ila kwa sisi tuliocheza mpira na waliocheza mpira wanajua kuwa kwenye mpira uchawi upo. Pole kwa kutokujua kwako
 
Wanasimba tuendelee kujipongeza goli moja hilo tusiumie sana shida hawa wanaongea sana waweke akiba mwakani watapenya kweli?
Jufunzeni mpira kwa simba msijetolewa mapema au mtasusa kwenda

Timu nne mwakani
Nasema kwishaaaaa! In Agha Carachai voice!
 
Mwakani Yanga msitie aibu mana tumeshawabeba na kila mechi waseme kwa hisani ya Simba FC!!!!
 
Back
Top Bottom