Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Umeona nikipindua meza bado kidogo ianguke kabisa au ulilalaMjipongeze kutoka nyie mikia umezuzuka kweli!
Kwanza waliongea hata kushinda simba hawezi sasa hivi wanaongea sana kutoka goli moja hiloLaiti kama angekuwa ndo yanga anacheza na kaizer leo ingekuwa aibu ya mwaka ..
Mngekuwa nyinyi goli nne kuzirudisha mngeweza zaidi mngepigwa zaidi kwanza mwakani hamtasusa nyieWajifunze kutolewa ?, Wajifunze waliyofanya huko nyuma mpaka kufikia hatua hii ila sio kutoka, (Au wajifunze jinsi ya kutokutolewa)?
Tunahitaji waganga wenuWanasimba tuendelee kujipongeza goli moja hilo tusiumie sana shida hawa wanaongea sana waweke akiba mwakani watapenya kweli?
Jufunzeni mpira kwa simba msijetolewa mapema au mtasusa kwenda
Timu nne mwakani
Hizo ndizo akili za kitopolo mlizo nazo mpira na uganga wapi na wapiTunahitaji waganga wenu
Kwani wewe hujawahi kupotea mpaka uwanja wa ndege mwakani yanga mtatia huruma mtengeneze Timu bila hivyo mtaishia mechi moja hata group stage hamfiki nyinyiTatizo mnapenda sana kujisahaulisha...
Yaani safari hii mnaona ni kama bahati mbaya tu....
Wanajua wana timu bovuWanapita tu kama hawaoni
Wanatambua hiliWanajua wana timu bovu
Mkuu wew na Azam kuna gap ya points ngapi et!Tatizo mnapenda sana kujisahaulisha...
Yaani safari hii mnaona ni kama bahati mbaya tu...
Kwa kuzingatia yanayoendelea hivi sasa, yaani unataka Yanga kujifunza kwa kutandikwa 4-0 ugenini, na kushinda 3-0 Mkapa!! Sasa unataka Yanga ijifunze nini hapo?! Au unataka ijifunze "kufa kiume"?!Kwani wewe hujawahi kupotea mpaka uwanja wa ndege mwakani yanga mtatia huruma mtengeneze Timu bila hivyo mtaishia mechi moja hata group stage hamfiki nyinyi
Chifu,Mkuu wew na Azam kuna gap ya points ngapi et!
Wajifunze kupambana kwa kucheza mpira wa kiwango uwanjani na kupata matokeo.Wajifunze kutolewa ?, Wajifunze waliyofanya huko nyuma mpaka kufikia hatua hii ila sio kutoka, (Au wajifunze jinsi ya kutokutolewa)?