Yanga mkimuacha Mbuyu Twitte mtajuta sana

Yanga mkimuacha Mbuyu Twitte mtajuta sana

huenda pia hamjafuatilia soka vizuri

  1. Tukubali Kwamba Kila zama na Kitabu chake...................mwaka huu majeraha yamemuweka Twite nje kwa muda mrefu sana na heri angekua mzawa maana kwa Pro ni mzigo tayari maana ukmbuke kadri umri unavyosogea ndivyo inakua ngumu kutibu majeraha na tukumbuke pia yule ni mchezaji mwenye chuma mguuni
  2. Yanga nadhani walishaona mbali kwani Kamusoko haakuja kwa Bahati mbaya ilikua ni exit strategy kwa Twite
  3. Tukienda kwa nafasi yake kwa sasa Uwanjani, ni kweli ni Kiraka lakini kwa nafasi ipi pale, kama ni centre back tayari zina wenyewe ambao si rahisi KUWABANDUA, kama ni full back ya kulia tayari Juma Abdul yuko kiwango cha juu sana na ameshasogezwa Kessy, hiyo mid ya chini ina watu kama sita sasa hivi, ukichukua Kamusoko, Makapu, Telela, Twite mwenyewe.........na tayari Kamusoko yuko kiwango cha juu na si salama kuchukua pro halafu akae benchi
  4. ni kweli kwamba aina ya Twite pale kati inafaa kwa mazingira fulani hasa unapohitaji kucheza long balls anajua sana lakini hawezi kuingia kwa ajili ya longa ball ama kurusha tu laba laka FIFA itaongeza timu ziwe na wachezaji 12 ama sheria ziwe kama kulivyo kwenye Basketball
  5. Its one thing kusema abaki but its another thing kusema ABAKI KWA AJILI GANI...
Sema tatizo mkataba tata kaka, lakini kusema eti ABAKI KWA AJILI GANI...... kwa mchezaji wa kiwango cha Twite siyo kweli. Nyie kaeni naye then kaeni na hao Lupopo mkataba ulegezwe masharti Twite aendelee kucheza Yanga
 
Sema tatizo mkataba tata kaka, lakini kusema eti ABAKI KWA AJILI GANI...... kwa mchezaji wa kiwango cha Twite siyo kweli. Nyie kaeni naye then kaeni na hao Lupopo mkataba ulegezwe masharti Twite aendelee kucheza Yanga
Hivi anajua Twite amecheza mechi ngapi msimu huu?
 
Shukrani watani kwa kuamua kuupokea ushauri wangu .
 
Back
Top Bottom