redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Shaolin walikua walicheza Simba dhidi ya Kaizer, Thadeo Lwanga na Babu Onyango walikua wamempani wamuumize yule striker wa Kaizer Chief Samir Nurcovic matokeo yake wakapasuana wenyewe. Onyango alitema jino siku Ile, Thadeo kapasuka mfupa wa sikio yaani full Shaolin. Mbumbumbu fc kwa mieleka mko vizuri.Wakicheza kwa Mkapa wajue kabisa marefa wanaokuja ni wa kimataifa hivyo ile shaolin wanayocheza ligi kuu halafu marefa wa huku wanajifanya kama hawaioni wakiileta wajiandae kwa kadi nyekundu na penati kwani CAF hakuna kina Bashungwa mfano waliuona cecafa