Yanga mkitumia hii,kwa Mkapa hatoki mtu mtaenda mbali

Shaolin walikua walicheza Simba dhidi ya Kaizer, Thadeo Lwanga na Babu Onyango walikua wamempani wamuumize yule striker wa Kaizer Chief Samir Nurcovic matokeo yake wakapasuana wenyewe. Onyango alitema jino siku Ile, Thadeo kapasuka mfupa wa sikio yaani full Shaolin. Mbumbumbu fc kwa mieleka mko vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…