Yanga mkiwa Serious ni itakuwa zaidi ya simba kimataifa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Unajua kinacho felisha yanga kimataifa ni kudanganyika na uwezo wao wa league ya ndani.

Mda mwingi wanatumia kuaminisha mashabiki wao kuwa wao wanaweza
Kuliko kukaa chini kutafakari jinsi gani ya kushinda mechi. Timu ya Yanga inaongozwa kimitandao sana.

Kaeni chini tafakari jinsi gani ya kushinda kama mpira ni uchawi tafuteni waganga wa ukweli kama mpira sio uchawi tumieni akili nyingi kuwasoma mnao cheza nao na kutafuta wachezaji wa kubwa wa zuri zaidi.

Ushauri wangu kule Sudan. Walisheni wachezaji wenu chakula ambacho kina bangi ndani.

Alafu nendeni mkacheze mpira wa kushambulia tu msirudi nyuma msijali kama mtafungwa ngapi au vipi ninyi shambulieni tu matokeo mtapata uko uko.

Na amini mtawatoa al hilal kwa mikwaju ya penalti.
 
Yanga tutaongea yote mwaka huu, ila kiukweli simba wametuacha mbali

#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
 
Msiseme ivo yanga wanaweza kuwatowa al hilal kwao mimi ndo na kuambia al hilal hawana mpira wowote wa kuwazidi yanga wakikaa chini na kusafisha makosa yao basi watawatowa
 
Fanya mambo yako bhn, naona we ni mgumu kuelewa

#𝙝𝙚𝙧𝙨𝙞 𝙤𝙪𝙩
#𝙣𝙖𝙗𝙞 𝙤𝙪𝙩
 
Unajua kinacho felisha yanga kimataifa ni kudanganyika na uwezo wao wa league ya ndani.

Mda mwingi wanatumia kuaminisha mashabiki wao kuwa wao wanaweza
Kuliko kukaa chini kutafakari jinsi gani ya kushinda mechi. Timu ya Yanga inaongozwa kimitandao sana.

Kaeni chini tafakari jinsi gani ya kushinda kama mpira ni uchawi tafuteni waganga wa ukweli kama mpira sio uchawi tumieni akili nyingi kuwasoma mnao cheza nao na kutafuta wachezaji wa kubwa wa zuri zaidi.

Ushauri wangu kule Sudan. Walisheni wachezaji wenu chakula ambacho kina bangi ndani.

Alafu nendeni mkacheze mpira wa kushambulia tu msirudi nyuma msijali kama mtafungwa ngapi au vipi ninyi shambulieni tu matokeo mtapata uko uko.

Na amini mtawatoa al hilal kwa mikwaju ya penalti.
Hersi ana kazi ya kuwajaza mapesa waandishi na wachambuzi uchwara ili waisifie sana Yanga mitandaoni hivyo kuwaaminisha gongowazi kuwa wao hawafungiki na ni giants katika soka la Africa. Wale mashabiki oyaoya waliokuwa wanaitukana timu yao na uongozi wa Yanga ni wahanga wa huu upuuzi wa GSM kuipaisha Yanga mitandaoni kuliko hali halisi.
 
kicho wa bangi kushambulia tu,kocha wa mchongo[emoji28][emoji23]
 
Yanga 9– 0 friends rangers
Yanga 6–0 transit camp

Halafu wanakwambia iwe jua iwe mvua badala wajipime na team za maana wao wanajipima na wavuvi.
Wanawahadaa mashabiki wao, unajua mashabiki wao ni watu wakusombwa na upepo wa magoli basi,maneno mengi kwa vibonde wakikutana na wababe wanaufyata
 
Unajua kinacho felisha yanga kimataifa ni kudanganyika na uwezo wao wa league ya ndani.

Mda mwingi wanatumia kuaminisha mashabiki wao kuwa wao wanaweza
Kuliko kukaa chini kutafakari jinsi gani ya kushinda mechi. Timu ya Yanga inaongozwa kimitandao sana.

Kaeni chini tafakari jinsi gani ya kushinda kama mpira ni uchawi tafuteni waganga wa ukweli kama mpira sio uchawi tumieni akili nyingi kuwasoma mnao cheza nao na kutafuta wachezaji wa kubwa wa zuri zaidi.

Ushauri wangu kule Sudan. Walisheni wachezaji wenu chakula ambacho kina bangi ndani.

Alafu nendeni mkacheze mpira wa kushambulia tu msirudi nyuma msijali kama mtafungwa ngapi au vipi ninyi shambulieni tu matokeo mtapata uko uko.

Na amini mtawatoa al hilal kwa mikwaju ya penalti.
Guardiola mnene hujamtaja🤣
 
Msiseme ivo yanga wanaweza kuwatowa al hilal kwao mimi ndo na kuambia al hilal hawana mpira wowote wa kuwazidi yanga wakikaa chini na kusafisha makosa yao basi watawatowa
Hili ndio tatizo kubwa hii hatua ni mtoano hawaangalii nani kacheza vizuri ni idadi ya magoli na home advantage basi.
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
 
Back
Top Bottom