kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Unajua kinacho felisha yanga kimataifa ni kudanganyika na uwezo wao wa league ya ndani.
Mda mwingi wanatumia kuaminisha mashabiki wao kuwa wao wanaweza
Kuliko kukaa chini kutafakari jinsi gani ya kushinda mechi. Timu ya Yanga inaongozwa kimitandao sana.
Kaeni chini tafakari jinsi gani ya kushinda kama mpira ni uchawi tafuteni waganga wa ukweli kama mpira sio uchawi tumieni akili nyingi kuwasoma mnao cheza nao na kutafuta wachezaji wa kubwa wa zuri zaidi.
Ushauri wangu kule Sudan. Walisheni wachezaji wenu chakula ambacho kina bangi ndani.
Alafu nendeni mkacheze mpira wa kushambulia tu msirudi nyuma msijali kama mtafungwa ngapi au vipi ninyi shambulieni tu matokeo mtapata uko uko.
Na amini mtawatoa al hilal kwa mikwaju ya penalti.