Sana my dear
Shadeeya kesi gani imeendeshwa kimyakimya hivyo? Wameona tupo kwenye peak wanaleta uchawi wao. Wanataka kuturudisha enzi za vibakuli, kuombaomba. Safari hii hatutakubali, Yanga ni kubwa kuliko yeyote.
Muda mrefu mrembo, tunapishana tu humu 🥰