Yanga: Mkutano na wanahabari tarehe 17.07.2024

Yanga: Mkutano na wanahabari tarehe 17.07.2024

1000140849.jpg
 
Sana my dear Shadeeya kesi gani imeendeshwa kimyakimya hivyo? Wameona tupo kwenye peak wanaleta uchawi wao. Wanataka kuturudisha enzi za vibakuli, kuombaomba. Safari hii hatutakubali, Yanga ni kubwa kuliko yeyote.
Muda mrefu mrembo, tunapishana tu humu 🥰
Kweli kabisa.

Ni kweli tumejua kupishana my dear. Ila nipo mwaya mihangaiko ndo inaniweka busy. 🥰
 
Back
Top Bottom