Yanga mlianza kwa ngekewa, mashabiki wenu wakawa na jeuri. Kiko wapi?

Yanga mlianza kwa ngekewa, mashabiki wenu wakawa na jeuri. Kiko wapi?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Ile bahati ya kukutana na timu dhaifu na kuzifunga magoli mengi basi mkaanza kuota viburi. Sasa ligi ndio imeanza rasmi. Na huko hatua ya makundi hakuna timu kama Zalan. Yaani maji mtaita “mma” endeleeni kuchonga sasa.

IMG_7841.jpeg
IMG_7844.jpeg
 
Hakuna timu isofunywa juzi . Manchester city.
Bingwa wa UEFA kafungwa na Wolves .
Mpira uko hivo
 
Leo umeme umenikatili sana,sikuweza kabisa kutroll na wala sikuwa najua kama kuna mechi ya Yanga leo.

Naingia insta nakuta banters nyingi kuhusu Yanga, sikuzote furaha inayokuja bila kutarajia huwa inaujaza moyo kwa kiasi kikubwa sana.
 
Yanga wanataka kucheza na Barcelona.Maajabu hayaishi na vibukta vyao vimini.😂😂😂
 
Kufungwa kwa Yanga hakufanyi isitwae ubingwa.
Haiondoi kuwa Yanga ni timu bora katika ukanda huu wa Afrika.
 
Back
Top Bottom