Yanga mlianza kwa ngekewa, mashabiki wenu wakawa na jeuri. Kiko wapi?

Hakuna timu isofunywa juzi . Manchester city.
Bingwa wa UEFA kafungwa na Wolves .
Mpira uko hivo
 
Leo umeme umenikatili sana,sikuweza kabisa kutroll na wala sikuwa najua kama kuna mechi ya Yanga leo.

Naingia insta nakuta banters nyingi kuhusu Yanga, sikuzote furaha inayokuja bila kutarajia huwa inaujaza moyo kwa kiasi kikubwa sana.
 
Yanga wanataka kucheza na Barcelona.Maajabu hayaishi na vibukta vyao vimini.😂😂😂
 
Kufungwa kwa Yanga hakufanyi isitwae ubingwa.
Haiondoi kuwa Yanga ni timu bora katika ukanda huu wa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…