Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wengine wavumilivu tuMkuu yaan kikosi kizima pesa adai yy tu??
Mkuu nilikuwa nakuheshimu kumbe nawewe wale wale wakosefu wa akili za kufikiria. Katika mechi tano zilizochezwa, Aucho kakosa mechi moja tu dhidi ya Ruvu. Ni hakucheza kwavile alikuwa hakuwa na utimamu wa mwili. Na mechi ya leo Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi kutokana na majeraha aliyoyapata wakati akichezea timu yake ya Uganda. Yaani unaandika kama vile Aucho ni roboti hawezi kuumia.Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa[emoji23][emoji23]
Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake [emoji23][emoji23][emoji23]huo ni Utopolo mwingine!!
Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Hao ndo mana waliitwa mbumbumbuMkuu nilikuwa nakuheshimu kumbe nawewe wale wale wakosefu wa akili za kufikiria. Katika mechi tano zilizochezwa, Aucho kakosa mechi moja tu dhidi ya Ruvu. Ni hakucheza kwavile alikuwa hakuwa na utimamu wa mwili. Na mechi ya leo Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi kutokana na majeraha aliyoyapata wakati akichezea timu yake ya Uganda. Yaani unaandika kama vile Aucho ni roboti hawezi kuumia.
Mchezaji kacheza mechi kibao kakosa mechi mbili tu mnasambaza uzushi. Wachezaji wote walipwe ndio Aucho pekee ndio asilipwe
Kweli na nyie utopolo mliitwa manyaniHao ndo mana waliitwa mbumbumbu
Aucho amecheza mechi ngapi akiwa yanga? Au ndio ukoloYaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa[emoji23][emoji23]
Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake [emoji23][emoji23][emoji23]huo ni Utopolo mwingine!!
Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Wewe dishi linayumba sio bure, full rubbish!!!Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa๐๐
Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake ๐๐๐huo ni Utopolo mwingine!!
Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Kuna watu mnaudhalilisha Simba mpaka mnakera!! Mnataka watu waone Simba ni timu ya mbumbumbu ndo raha yenu?Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa[emoji23][emoji23]
Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake [emoji23][emoji23][emoji23]huo ni Utopolo mwingine!!
Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Mimba inakusumbuaYaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.