Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
Hata usiponiheshimu haisadiii, chamsingi dawa ya deni ni kulipaMkuu nilikuwa nakuheshimu kumbe nawewe wale wale wakosefu wa akili za kufikiria. Katika mechi tano zilizochezwa, Aucho kakosa mechi moja tu dhidi ya Ruvu. Ni hakucheza kwavile alikuwa hakuwa na utimamu wa mwili. Na mechi ya leo Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi kutokana na majeraha aliyoyapata wakati akichezea timu yake ya Uganda. Yaani unaandika kama vile Aucho ni roboti hawezi kuumia.
Mchezaji kacheza mechi kibao kakosa mechi mbili tu mnasambaza uzushi. Wachezaji wote walipwe ndio Aucho pekee ndio asilipwe