Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Hata usiponiheshimu haisadiii, chamsingi dawa ya deni ni kulipaMkuu nilikuwa nakuheshimu kumbe nawewe wale wale wakosefu wa akili za kufikiria. Katika mechi tano zilizochezwa, Aucho kakosa mechi moja tu dhidi ya Ruvu. Ni hakucheza kwavile alikuwa hakuwa na utimamu wa mwili. Na mechi ya leo Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi kutokana na majeraha aliyoyapata wakati akichezea timu yake ya Uganda. Yaani unaandika kama vile Aucho ni roboti hawezi kuumia.
Mchezaji kacheza mechi kibao kakosa mechi mbili tu mnasambaza uzushi. Wachezaji wote walipwe ndio Aucho pekee ndio asilipwe
Dawa ya deni ni kulipa tuMleta mada kazia hapo hapo
Lipeni deniMbumbumbu katika uandishi
Kwahiyo Mugalu, Bwalya nao wanaidai simba???Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa[emoji23][emoji23]
Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake [emoji23][emoji23][emoji23]huo ni Utopolo mwingine!!
Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Wewe nguruwe huyo mleta mada ni Utopolo mwenzenu ujue.Hao ndo mana waliitwa mbumbumbu
๐ฎ๐ฎKwahiyo Mugalu, Bwalya nao wanaidai simba???
Huyo mbona ni Utopolo mwenzenu? Au mnaanza kukataana sasa hiviKuna watu mnaudhalilisha Simba mpaka mnakera!! Mnataka watu waone Simba ni timu ya mbumbumbu ndo raha yenu?
Atakazwa yeye hapohapo.Mleta mada kazia hapo hapo
Vipi namungo akazaia kubanjua screen protectorAtakazwa yeye hapohapo.
Bado hawajamlipaaa ?Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa๐๐
Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake ๐๐๐huo ni Utopolo mwingine!!
Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Nguruwe baba akoWewe nguruwe huyo mleta mada ni Utopolo mwenzenu ujue.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nyie ile milioni 110 mlishalipa?Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa๐๐
Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila kumuonesha sura yake ๐๐๐huo ni Utopolo mwingine!!
Njooni mniue sasa kwamaana nshawaambia ukweli wenu, tukutane baadae Ilulu
Jikite kwenye hoja mkuu. Mugalu , Bwalya Ni wqgonjwa.Kwahiyo Mugalu, Bwalya nao wanaidai simba???
Wee nguruwe jike kalipeni deni. Shubamiti!Nguruwe baba ako
Tuliza kishtobe hicho dada mkubwa uzae salamaNguruwe baba ako