Labda hapo kwenye mavi ya kale, otherwise mengine ni kawaida sana. Ht msimu ulipita timu zilizoifunga yanga nyingine zilifungwa na azam au mtibwa ht Lipuli au mwadui. Ni hali ya mchezo tu huyu kufungwa na yule nae akafungwa aliyemfunga huyuKwanza Mavi ya kale hayanuki. Pili hizo goli hazifanani. Tatu acha wivu inaonekana umeumia sana Yanga kumfunga Mbao hilo goli basi lifute
Kwahiyo point yako ni kuwa tusi shangilie lile goli la Ajibu? Au unataka kusema nn?Katika mechi za mwisho mwisho msimu uliopita, yanga walifungwa goli tena zaidi ya hili la Ajibu. Naona hawa jamaa wamejisahaulisha kabisaaaaa as if hakuna kilichowahi kuwatokea.
Ningewaelewa wangesema kuwa Ajibu amewalipia kwa Chilunda alichowafanya
Mkumbuke pia ndio pekee iliyofungwa Hat trick mpk sasa
Shangilieni yoteKwahiyo point yako ni kuwa tusi shangilie lile goli la Ajibu? Au unataka kusema nn?
Wakati Yanga imechukua ubingwa mara 3 mfululizo, je nyie Simba mlikuwa mnashangilia?Shangilieni yote