Yanga mmemsahau Chilunda kweli!!!????

Yanga mmemsahau Chilunda kweli!!!????

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Katika mechi za mwisho mwisho msimu uliopita, yanga walifungwa goli tena zaidi ya hili la Ajibu. Naona hawa jamaa wamejisahaulisha kabisaaaaa as if hakuna kilichowahi kuwatokea.
Ningewaelewa wangesema kuwa Ajibu amewalipia kwa Chilunda alichowafanya
Mkumbuke pia ndio pekee iliyofungwa Hat trick mpk sasa
 
Kwanza Mavi ya kale hayanuki. Pili hizo goli hazifanani. Tatu acha wivu inaonekana umeumia sana Yanga kumfunga Mbao hilo goli basi lifute
 
Labda hapo kwenye mavi ya kale, otherwise mengine ni kawaida sana. Ht msimu ulipita timu zilizoifunga yanga nyingine zilifungwa na azam au mtibwa ht Lipuli au mwadui. Ni hali ya mchezo tu huyu kufungwa na yule nae akafungwa aliyemfunga huyu
 
Katika mechi za mwisho mwisho msimu uliopita, yanga walifungwa goli tena zaidi ya hili la Ajibu. Naona hawa jamaa wamejisahaulisha kabisaaaaa as if hakuna kilichowahi kuwatokea.
Ningewaelewa wangesema kuwa Ajibu amewalipia kwa Chilunda alichowafanya
Mkumbuke pia ndio pekee iliyofungwa Hat trick mpk sasa
Kwahiyo point yako ni kuwa tusi shangilie lile goli la Ajibu? Au unataka kusema nn?
 
Back
Top Bottom