SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Leo tunaambiana ukweli.
Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua.
Mnacheza nyumbani, mnashindwaje kupata goli 1 tu la kuwavusha? Embu acheni utani. Unashindwaje kupata goli 1 hata la kufosi? Mwaka huu Mamelodi siyo wakali, Al Ahly nao msimu huu hadi wanafungwa nyumbani kwao. Mimi nadhani kuna mamluki katika viongozi wenu, wanawaonjesha asali ili biashara zao ziende ila hawataki mje muipiku kimataifa Simba timu yao ya moyoni. Huu ulikuwa mwaka wenu aisee.
Mmeshindwa mwaka huu, ndo baaasi tena. Msimu huu Simba atakapofika amefika siwezi kugarantii atachukua ubingwa ila uwezekano ni mkubwa wa kuingia top 5 kwenye ranking. Hii ni rekodi ambayo haitafutika kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufanya hivyo. Kumbuka msimu ujao Simba itaendelea kuwa Pot 1 na nadhani mnajua maana yake.
Msimu ujao Simba inaweza kuamua kurudi huku huku Shirikisho ili kuendelea kuimarisha kwanza kikosi. Ikifika tena nusu fainali au fainali ya CAFCC najua haitatoka top 5 kwenye ranking. Hapo najua Yanga kwa kikosi chao hicho cha kina Andambwile na Mwamnyeto wakitoboa makundi yatakuwa maajabu. Baada ya hapo Simba inarudi rasmi CAFCL ikiwa tayari na kosi imara la kupambana na wowote.
Sioni Yanga ikija kuifikia Simba kwenye ranking za CAF miaka ya hivi karibuni. Viongozi wenu wamewauza!