njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Yote kayataka Side Said Mnyamwezi mtoto mbezi🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuoneshane makombe na wewe ulie fauluCha ajabu wengine hawana kabisa hata hivyo vyeti.Walifurushwa hawakufaulu.
Umekurupuka.Soma upya au upigwe kwa ukaidi.Tuoneshane makombe na wewe ulie faulu
Unaongea robo wenzako wana medals za juzi tu hapaUmekurupuka.Soma upya au upigwe kwa ukaidi.
NB;Usijisahaulishe kombe la "Mwakarobo" ambalo wengine hawana.
Vilikuwa vidani vya kombe gani?Maana kombe la mwakarobo ilikuwa klabu bingwa.Unaongea robo wenzako wana medals za juzi tu hapa
Mkuu hebu acha kabisa hii tabia yako ya kuchekesha watu, umenifanya nicheke mbele za watu hapa hadi nimeona aibu, watu wanajivunia Vidani kwenye mpira wa miguu 🤣🤣🤣🤣Vilikuwa vidani vya kombe gani?Maana kombe la mwakarobo ilikuwa klabu bingwa.
Utopolo ni wahuni.Waligawiwa vidani wavae waendapo kwenye vigodoro na kusutana.Wanazugazuga tu hapa.Mkuu hebu acha kabisa hii tabia yako ya kuchekesha watu, umenifanya nicheke mbele za watu hapa hadi nimeona aibu, watu wanajivunia Vidani kwenye mpira wa miguu 🤣🤣🤣🤣
Sasa Yanga ina kombe lipi huko international?Wakati wenzako wanaonyesha mafanikio wewe unaonyesha vyeti vya division 1, hio raking ibadilishe iwe kombe
Aisee,Unaongea robo wenzako wana medals za juzi tu hapa
Tujadili mada we farabu...... NYUMA MWIKO MPO NAMBA NGAPI???Copco kachapwa 5 kama anazochapwa mke mkubwa 5imba kolo la mambumbumbu