Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
YANGA mnachotaka kufanya ni Ushamba wa SOKA. Kama mmeshindwa kuifunga MAMELODI Uwanja wa Nyumbani kwa Mkapa mlidhani ni rahisi kuwafunga kwenye Uwanja wao?
Kama kila timu ilipewa Penalti 5 mkashindwa kufunga zote 5 mkaambulia mbili mlitaka mshinde?
GOLI mnalolilalamikia Mfungaji wenu kabla ya kupiga mpira alikuwa OFFSIDE mlitaka REFA akubali kuwa GOLI?
Kubalini kushindwa.
Mmeshindwa kuutumia uwanja wa Mkapa.
Mmeshindwa kupiga Penalti mmeanza lawama.