Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Pumbavu!Sindano imekuingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu!Sindano imekuingia
Hauna hoja weweUkishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
kwa maelezo yako inaonekana hata mpira hukuangalia ila unaropoka kama wanawake wa baa wakiwashangilia wanaume waliokuja na magari ..YANGA mnachotaka kufanya ni Ushamba wa SOKA. Kama mmeshindwa kuifunga MAMELODI Uwanja wa Nyumbani kwa Mkapa mlidhani ni rahisi kuwafunga kwenye Uwanja wao?
Kama kila timu ilipewa Penalti 5 mkashindwa kufunga zote 5 mkaambulia mbili mlitaka mshinde?
GOLI mnalolilalamikia Mfungaji wenu kabla ya kupiga mpira alikuwa OFFSIDE mlitaka REFA akubali kuwa GOLI?
Kubalini kushindwa.
Mmeshindwa kuutumia uwanja wa Mkapa.
Mmeshindwa kupiga Penalti mmeanza lawama.
Sijui kama uliangalia mpira ama ulitazama mpira...hivyo siwezi kukusaidiaMmepewa penalt 5 kama mnajua kufunga mbona mmeshindwa
Achana na Yanga wewe, Afrika imeona na Dunia imeshuhudia ubora wa Yanga.YANGA mnachotaka kufanya ni Ushamba wa SOKA. Kama mmeshindwa kuifunga MAMELODI Uwanja wa Nyumbani kwa Mkapa mlidhani ni rahisi kuwafunga kwenye Uwanja wao?
Kama kila timu ilipewa Penalti 5 mkashindwa kufunga zote 5 mkaambulia mbili mlitaka mshinde?
GOLI mnalolilalamikia Mfungaji wenu kabla ya kupiga mpira alikuwa OFFSIDE mlitaka REFA akubali kuwa GOLI?
Kubalini kushindwa.
Mmeshindwa kuutumia uwanja wa Mkapa.
Mmeshindwa kupiga Penalti mmeanza lawama.
Aggregate Al Ahaly 3 Simba 0.YANGA mnachotaka kufanya ni Ushamba wa SOKA. Kama mmeshindwa kuifunga MAMELODI Uwanja wa Nyumbani kwa Mkapa mlidhani ni rahisi kuwafunga kwenye Uwanja wao?
Kama kila timu ilipewa Penalti 5 mkashindwa kufunga zote 5 mkaambulia mbili mlitaka mshinde?
GOLI mnalolilalamikia Mfungaji wenu kabla ya kupiga mpira alikuwa OFFSIDE mlitaka REFA akubali kuwa GOLI?
Kubalini kushindwa.
Mmeshindwa kuutumia uwanja wa Mkapa.
Mmeshindwa kupiga Penalti mmeanza lawama.
Kama mwenzetu uliona ni offside basi ni wazi umetofautiana hadi na waamuzi na watu wote walioangalia mechi. Kwasababu ishu iliyopo ni mpira kuvuka mstari. Ila wewe unasema kuwa ni offside basi ni kihande uliopitiza kwenye mpira. Tafuta mchezo mwingine ushabikie[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]Yanga kumbe hawajui kupiga penalt ndio maana mnang'ang'ania Goli la OFFSIDE acheni ushamba
HakikaUkishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE