Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Kwa kauli hii ukapimwe kalio sio bure, ndio shida ya kuangalia mechi kwenye redio.GOLI mnalolilalamikia Mfungaji wenu kabla ya kupiga mpira alikuwa OFFSIDE
yanga alipewa penati 5???mechi gani hiyo yanga alipewa peanati au ndo mbumbumbu at workYANGA mnachotaka kufanya ni Ushamba wa SOKA.Kama mmeshindwa kuifunga MAMELODI Uwanja wa Nyumbani kwa Mkapa mlidhani ni rahisi kuwafunga kwenye Uwanja wao?
Kama kila timu ilipewa Penalti 5 mkashindwa kufunga zote 5 mkaambulia mbili mlitaka mshinde?
GOLI mnalolilalamikia Mfungaji wenu kabla ya kupiga mpira alikuwa OFFSIDE mlitaka REFA akubali kuwa GOLI?
Kubalini kushindwa
Mmeshindwa kuutumia uwanja wa Mkapa
Mmeshindwa kupiga Penalti mmeanza LAWAMA
YANGA mnachotaka kufanya ni Ushamba wa SOKA.Kama mmeshindwa kuifunga MAMELODI Uwanja wa Nyumbani kwa Mkapa mlidhani ni rahisi kuwafunga kwenye Uwanja wao?
Kama kila timu ilipewa Penalti 5 mkashindwa kufunga zote 5 mkaambulia mbili mlitaka mshinde?
GOLI mnalolilalamikia Mfungaji wenu kabla ya kupiga mpira alikuwa OFFSIDE mlitaka REFA akubali kuwa GOLI?
Kubalini kushindwa
Mmeshindwa kuutumia uwanja wa Mkapa
Mmeshindwa kupiga Penalti mmeanza LAWAMA
Wee nguruwe π unajua offside au kula makombo!YANGA mnachotaka kufanya ni Ushamba wa SOKA.Kama mmeshindwa kuifunga MAMELODI Uwanja wa Nyumbani kwa Mkapa mlidhani ni rahisi kuwafunga kwenye Uwanja wao?
Kama kila timu ilipewa Penalti 5 mkashindwa kufunga zote 5 mkaambulia mbili mlitaka mshinde?
GOLI mnalolilalamikia Mfungaji wenu kabla ya kupiga mpira alikuwa OFFSIDE mlitaka REFA akubali kuwa GOLI?
Kubalini kushindwa
Mmeshindwa kuutumia uwanja wa Mkapa
Mmeshindwa kupiga Penalti mmeanza LAWAMA
Sindano imekuingiaOmba ukocha yanga basi, maana kocha aliyepo ndo uwezo wake, inaonekana wewe una uwezo zaidi
Sindano imekuingiaNjoo jangwani upewe kazi, uache kuandika upupu na kujaza server humu ndani
Mmepewa penalt 5 kama mnajua kufunga mbona mmeshindwa
Sindano imekuingiaKwa kauli hii ukapimwe kalio sio bure, ndio shida ya kuangalia mechi kwenye redio.
Yanga katolewa kwa Penalt kila kitu ilipewa penalt 5 au akili zimekuruka ukumbuki?yanga alipewa penati 5???mechi gani hiyo yanga alipewa peanati au ndo mbumbumbu at work
Sindano ipi umeandika upupu we kolokwinyoSindano imekuingia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]Yanga kumbe hawajui kupiga penalt ndio maana mnang'ang'ania Goli la OFFSIDE acheni ushamba1) Aliyekuwa offside ni mchezaji gani? Alihusika kwenye kuugusa huo mpira?
2) Yanga walijijua sio wazuri kwenye penati ndio maana wakapambana na wakapata goli ambalo kwa matokeo yalipasa kuwatoa moja kwa moja Mamelodi kwenye mashindano.
3) Mamelodi msimu uliopita alitolewa hapo hapo kwenye uwanja wao na kama alivyofanya jana Yanga kwa kufunga goli halali kabisa.
Sindano imekuingiaWee nguruwe [emoji241] unajua offside au kula makombo!