Yanga mmeshindwa kuutumia Uwanja wa Mkapa, mmeshindwa kupiga penati, sasa mnadai goli la kuotea

Hauna hoja wewe
 
kwa maelezo yako inaonekana hata mpira hukuangalia ila unaropoka kama wanawake wa baa wakiwashangilia wanaume waliokuja na magari ..
 
Achana na Yanga wewe, Afrika imeona na Dunia imeshuhudia ubora wa Yanga.

Pambana na timu yako iliyoliwa mbele na nyuma na Mwarabu.

Mbumbumbu ndio timu pekee iliyoliwa home and away mumetia aibu taifa.
 
Aggregate Al Ahaly 3 Simba 0.

Sasa wewe endelea kujitowa ufahamu tu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]Yanga kumbe hawajui kupiga penalt ndio maana mnang'ang'ania Goli la OFFSIDE acheni ushamba
Kama mwenzetu uliona ni offside basi ni wazi umetofautiana hadi na waamuzi na watu wote walioangalia mechi. Kwasababu ishu iliyopo ni mpira kuvuka mstari. Ila wewe unasema kuwa ni offside basi ni kihande uliopitiza kwenye mpira. Tafuta mchezo mwingine ushabikie
 
Hakika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…