Mechi ya jana imetuonyesha ubora wa Yanga kuanzia fitness level yao mpaka team work yao ni ya viwango vya juu sana!
Tumezoea team mojawapo inapokuwa pungufu kwa mchezaji Mmoja mara nyingi uwa inafanya sub za kulinda zaidi kwenye eneo lake ili kukabiliana na mpinzani husika lakini jana ilikuwa ni tofauti kwa mabingwa watetezi!
Kapungua beki tegemeo lakini Gamond akuwa na wasi wasi juu ya vijana wake na mfumo wake, badala yake aliingiza viungo washambuliaji!
Team imeperform kana kwamba yenyewe ndio imekamilika badala ya Azam, wameshambulia na kutawala mchezo kwa swaga na umakini mdogo wa kibabage ndio uliowanusuru Azam wasisawazishiwe goli, team Bora kama Azam waliona isiwe tabu Wacha wapoteze muda angalau kupunguza presha ya Yanga waliokuwa wanawasaka Azam kwa nguvu!
Kitu kama icho akiwezi kufanywa na timu yoyote ambayo aiko timamu kuanzia fitness level, team work na quality ya wachezaji husika!
Juzi tulishuhudia Arsenal wakipaki bus baada ya kadi nyekundu ili kulinda damage zaidi isiwapate sio jambo rahisi kwa mtu anayefahamu Mpira vizuri, unaweza kukandwa za kutosha ukaenda kusimulia wajukuu Tena
Unapocheza na timu Bora kama Azam, lakini vijana wa Gamond wameonyesha sio timu ya mpeche mpeche wamekamilika mpaka wengine wanaanza kusema wapimwe inawezekana wanatumia madawa🤣🤣
Ubora wa timu unapimwa kwa vitu vingi sana ikiwemo utimamu wa miili ya wachezaji!
Yanga kacheza Arusha kasafiri baada ya siku tatu kacheza Zanzibar mechi ngumu zote hizo, katoka Zanzibar karudi dar kapumzika siku mbili ya tatu kacheza na Azam na kaonyesha Ile performance sio jambo la kitoto!
Na kama isingekuwa kadi ya bacca Azam alikuwa anakufa vizuri tu lilikuwa ni suala la muda tu!
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024
Kwa maana iyo nawapongeza vijana timu ya kutetea ubingwa kwa mara ya nne mfululizo ipo wanayo spirit ya hali ya juu kabisa ya ushindi ndio tabia ya timu kubwa yenye malengo!