Yanga mmetuonesha ubora wenu, nakubali hakuna timu inaweza kupishana na nyie uwanjani ikapona. Fitness na team work yenu ni ya viwango vya juu!

Yanga mmetuonesha ubora wenu, nakubali hakuna timu inaweza kupishana na nyie uwanjani ikapona. Fitness na team work yenu ni ya viwango vya juu!

Mechi ya jana imetuonyesha ubora wa Yanga kuanzia fitness level yao mpaka team work yao ni ya viwango vya juu sana!

Tumezoea team mojawapo inapokuwa pungufu kwa mchezaji Mmoja mara nyingi uwa inafanya sub za kulinda zaidi kwenye eneo lake ili kukabiliana na mpinzani husika lakini jana ilikuwa ni tofauti kwa mabingwa watetezi!
Kapungua beki tegemeo lakini Gamond akuwa na wasi wasi juu ya vijana wake na mfumo wake, badala yake aliingiza viungo washambuliaji!

Team imeperform kana kwamba yenyewe ndio imekamilika badala ya Azam, wameshambulia na kutawala mchezo kwa swaga na umakini mdogo wa kibabage ndio uliowanusuru Azam wasisawazishiwe goli, team Bora kama Azam waliona isiwe tabu Wacha wapoteze muda angalau kupunguza presha ya Yanga waliokuwa wanawasaka Azam kwa nguvu!

Kitu kama icho akiwezi kufanywa na timu yoyote ambayo aiko timamu kuanzia fitness level, team work na quality ya wachezaji husika!

Juzi tulishuhudia Arsenal wakipaki bus baada ya kadi nyekundu ili kulinda damage zaidi isiwapate sio jambo rahisi kwa mtu anayefahamu Mpira vizuri, unaweza kukandwa za kutosha ukaenda kusimulia wajukuu Tena

Unapocheza na timu Bora kama Azam, lakini vijana wa Gamond wameonyesha sio timu ya mpeche mpeche wamekamilika mpaka wengine wanaanza kusema wapimwe inawezekana wanatumia madawa🤣🤣
Ubora wa timu unapimwa kwa vitu vingi sana ikiwemo utimamu wa miili ya wachezaji!

Yanga kacheza Arusha kasafiri baada ya siku tatu kacheza Zanzibar mechi ngumu zote hizo, katoka Zanzibar karudi dar kapumzika siku mbili ya tatu kacheza na Azam na kaonyesha Ile performance sio jambo la kitoto!

Na kama isingekuwa kadi ya bacca Azam alikuwa anakufa vizuri tu lilikuwa ni suala la muda tu!

Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Kwa maana iyo nawapongeza vijana timu ya kutetea ubingwa kwa mara ya nne mfululizo ipo wanayo spirit ya hali ya juu kabisa ya ushindi ndio tabia ya timu kubwa yenye malengo!
img_1_1730588381369_1.jpg

Hapa ni wapi 😂😂🤣😅
 
Mfano wako sijui ulikumbuka kucompare na ile mechi na JKT au umebase kwenye mechi na Azam tu

Kwenye ile mechi na JKT baada ya mchezaji wao kutolewa kwa red mliwafunga goli 20 na ngapi mkuu, au na nyie hamkuwa bora kama Azam na Gamond tuseme hamna kocha?
 
Simba ni wa yanga
Mmeliwa

Mmepigwa kidude

Mmelambishwa lolo

Mmechumishwa mchicha.

Kaeni kwa kutulia.
Kama kolo tulivyo MLA maranne mfululizo,tumewapiga kidude,tumewalambisha Lolo,tumewachumusha mchicha,nyie na wazee wenu make kwa kutulia
 
Mfano wako sijui ulikumbuka kucompare na ile mechi na JKT au umebase kwenye mechi na Azam tu

Kwenye ile mechi na JKT baada ya mchezaji wao kutolewa kwa red mliwafunga goli 20 na ngapi mkuu, au na nyie hamkuwa bora kama Azam na Gamond tuseme hamna kocha?
Hajakosea jkt walivyo para refi kadi walitoa mshambuliaji wakaingiza beki Ili wasifungwe zaidi na walifanikiwa plani Yao kwa yanga hawakutoa mshambuliaji Ili kujihami.
 
Simba ni wa yanga

Kama kolo tulivyo MLA maranne mfululizo,tumewapiga kidude,tumewalambisha Lolo,tumewachumusha mchicha,nyie na wazee wenu make kwa kutulia
Mmeliwa.

Mmepigwa kidude.

Mmelambishwa lolo.

Mmechumishwa mchicha.

Mmepakatwa.

Mmepapaswa.

Mmenajisiwa.

Mmebakwa.

Mmelawitiwa.

Mmekalishwa.

Mmepigwa pipe.

Mmeshikishwa ukuta.

Mmechinjwa.

Mmebondwa.

Mmechakazwa.

Mmegaragazwa.

Mmepakwa mafuta.

Mmepididiwa.

Mmesokomezwa likijiti.

Silaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........kwani we huogopi?
 
Mfano wako sijui ulikumbuka kucompare na ile mechi na JKT au umebase kwenye mechi na Azam tu

Kwenye ile mechi na JKT baada ya mchezaji wao kutolewa kwa red mliwafunga goli 20 na ngapi mkuu, au na nyie hamkuwa bora kama Azam na Gamond tuseme hamna kocha?
Shule ni muhimu sana na inatakiwa uwe mwepesi kuelewa hoja ya msingi usiwe na kichwa kizito kuchanganua mambo, Jkt alikuwa pungufu je uliona anafunguka kumkabili yanga aliyekamilika? Jkt alifanya tactical switch ya kuimarisha eneo lake la ulinzi baada ya kupungua ndio maana walikuwa wanakabia low block, walikuwa wanacheza wachezaji zaidi ya 8 kwenye eneo lao sasa unawezaje kuifungua defence ya wachezaji 8 na kupata magoli zaidi? Je walifunguka kumshambulia yanga? Kama uko vizuri kichwani utakuwa umenielewa!
 
Timu inyoongoza kwa kuwachezea rafu wachezaji pinzani Tanzania
 
Si tunawaacha muendelee kutafuta maneno ya kujifariji kwasababu ndio option iliyobaki ku regain happiness yenu.

Mpira wote tuliangalia na wote tunaweza kutafsiri kilichotokea.

Hizi skanka za kwamba sijui eti mlikuwa mnapambana sana baada ya kuwa pungufu ni upimbi tu.

Kwasababu dakika 10 za mwanzo kabla ya red card wote tuliona namna ambavyo Azam wali dominate game. Tena mkiwa mmetima.

Sasa jiulize why kipindi ambacho timu imetimia ilikuwa imezidiwa possesion?

Nani asiyejua kuwa timu ambayo inazuia huwa inazidiwa umiliki na mpinzani? Hili nalo lilihitaji insha kuelezea?

Hapo kama una ubongo ulio active utapata jawabu kuwa mabadiliko ya mbinu kwa Azam ndio yaliyowapa advantage ya kutawala mpira.

Azam wamekuja kupoteza umiliki ni baada ya kupata bao la kuongoza.

Maana yake from there Azam waka change game plan kutoka kushambulia na kuanza kulinda walichokipata.

Na ndio maana pamoja na huo umiliki ambao Yanga alikuwa nao lakini bado 1st half iliisha mkiwa hamna on target hata moja.

Maana yake all the time mlikuwa mnafanya marathon zisizo na madhara na kujichosha tu kumfurahisha boss wenu aone na nyie mmepambana.
Jamaa linajiona limeandika strong points lenyewe😂😂😂 kumbe utumbo tu
 
Unalinda ulichokipata dhidi ya timu pungufu? Ok wamelinda walichokipata ni vipi kama wangecheza na timu kama yako wangelinda walichokipata mkiwa pungufu? Kama unayo akili inayochaji vizuri utakuwa umenielewa swali langu, ni kwamba wamelazimishwa kufanya vile na timu Bora ambayo ata kama ni pungufu Ina uwezo wa kukufunga wewe uliyekamilika, kama Azam angekuwa anacheza na Simba ama Namungo asingethubutu kulinda alichokipata angewapelekea moto mwanzo mwisho kwakuwa anawamudu na angejua anaweza kupata magoli mengine zaidi!
Ubora wa yanga uliwalazimisha warudi nyuma na kupoteza muda vitu kama ivyo ni nadra sana kuviona vikifanyika kwa timu yoyote Ile kwamba umekamilika na unajilinda alafu aliye pungufu ndio anakupelekea moto kwa akili ya kawaida inahitaji uwe mbumbumbu kuelewa kitu kama icho!
Huna tu kumbukumbu

Mimi nilikuwa pungufu kwa wachezaji wawili nikiwa naongozwa bao moja na bado mechi iliisha nikiwa mimi nimeshinda.

Na sio mara moja
 
Mkojo wa yanga ni kocha Bora walienae wa viungo na fitness kwa maana iyo unakiri mwenyewe indirect kwamba Yuko vizuri hizo nyingine ni mbwembwebna wivu wa kike kike unawasumbua!
Wee hayaaaa....
 
Yanga standard waliyo set msimu huu ni kucheza fainali na kutwaa Ubingwa wa CAF champion league.
Kwa apa bongo tutabeba Makombe mpaka tuchoke wenyewe.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana
 
Huna tu kumbukumbu

Mimi nilikuwa pungufu kwa wachezaji wawili nikiwa naongozwa bao moja na bado mechi iliisha nikiwa mimi nimeshinda.

Na sio mara moja
Ulikuwa unaongozwa na nani? Na ni mechi Gani iyo ebu tutajie!
 
Unalinda ulichokipata dhidi ya timu pungufu? Ok wamelinda walichokipata ni vipi kama wangecheza na timu kama yako wangelinda walichokipata mkiwa pungufu? Kama unayo akili inayochaji vizuri utakuwa umenielewa swali langu, ni kwamba wamelazimishwa kufanya vile na timu Bora ambayo ata kama ni pungufu Ina uwezo wa kukufunga wewe uliyekamilika, kama Azam angekuwa anacheza na Simba ama Namungo asingethubutu kulinda alichokipata angewapelekea moto mwanzo mwisho kwakuwa anawamudu na angejua anaweza kupata magoli mengine zaidi!
Ubora wa yanga uliwalazimisha warudi nyuma na kupoteza muda vitu kama ivyo ni nadra sana kuviona vikifanyika kwa timu yoyote Ile kwamba umekamilika na unajilinda alafu aliye pungufu ndio anakupelekea moto kwa akili ya kawaida inahitaji uwe mbumbumbu kuelewa kitu kama icho!
Mmeshindwa Nini kufunga goli?maana mda wote mlikuwa golini kwao
 
Back
Top Bottom