Yanga mna kazi ligi mwaka huu

Yanga mna kazi ligi mwaka huu

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
kuna habari ambazo kuna kiongozi wa juu wa simba anamtumia mchezaji wa zamani wa simba kuihujumu yanga kwa njia mbalimbali mchezoni amepewa na gari kwa kazi hiyo kumfuata refa popote tanzania akimaliza hapo anaenda kwa timu ambayo itacheza na Yanga. Kiongozi huyo na mchezaji majina yao nayafungia.

kiongozi huyo amejaribu kuishawisha azamfc mpango huo wamekataa
 
Kaombeenidua waliokufa mtafanikiwa bilakuwakumbuka waleewazee amtoki,,tena msiendekinajisi Mara mmelewa huyukatoka lodge Norma,
 
kuna habari ambazo kuna kiongozi wa juu wa simba anamtumia mchezaji wa zamani wa simba kuihujumu yanga kwa njia mbalimbali mchezoni amepewa na gari kwa kazi hiyo kumfuata refa popote tanzania akimaliza hapo anaenda kwa timu ambayo itacheza na yanga.kiongozi huyo na mchezaji majina yao nayafungia.

kiongozi huyo amejaribu kuishawisha azamfc mpango huo wamekataa
Hili ndio tatizo la watu wa Yanga, wao kila wanapofanya vibaya lawama zote ni kwa watu wa Simba kwamba wanawahujumu, Simba mbona imefanya vibaya toka mwaka juzi, mwaka jana na hata mwaka huu hali bado si nzuri lakini huwezi kusikia wanalaumu timu nyingine. Kwa Yanga wasipochukua ubingwa watasema timu iliyochukua ubingwa imehonga marefa (tulisikia haya kwa Azam mwaka jana).

Jaribuni kuwa watu wa mpira kuna kufungwa, kutoa sare na kushinda sio kila siku ushindi tu.
 
Mechi ijayo kandambili atakapotulizwa tena na maafande wa moro ataanza kusingizia kua ex players wa mnyama wanahujumu timu.
 
kuna habari ambazo kuna kiongozi wa juu wa simba anamtumia mchezaji wa zamani wa simba kuihujumu yanga kwa njia mbalimbali mchezoni amepewa na gari kwa kazi hiyo kumfuata refa popote tanzania akimaliza hapo anaenda kwa timu ambayo itacheza na yanga.kiongozi huyo na mchezaji majina yao nayafungia.

kiongozi huyo amejaribu kuishawisha azamfc mpango huo wamekataa
Duh tuseme kiongozi mechi ya juzi hata kama simba walimpa ela mwamuzi,how abt msuva aliyekosa magoli matatu ya wazi nae alipewa hongo?
 
Tatizo washambuliaji wa yanga kila mmoja anataka kufunga hata akiwa ktk nafasi ya kumpasia mwenzie yeye anabutua tu,hebu yatazameni matatizo yenu kiufundi zaidi kuliko kukimbilia mnahujumiwa na simba,

huyo simba kafanya vzr lini ktk hiyo ligi kashinda mechi mbili tu na draw kibao pmj na kufungwa so kama wanajua hujuma wao si wangekuwa wanaongoza hyo ligi,timu yenu ya magzt sana alafu most of playerz wazee wameshaanza kuchoka jaribun vjana mechi moja moja muone mabadiliko
 
Yanga kwa visingizio bana

Hawajambo

Eti wanataka wajitoe kwenye ligi kisa faulu za kawaida za uwanjani

Yanga timu ya CCM
 
Mechi ijayo kandambili atakapotulizwa tena na maafande wa moro ataanza kusingizia kua ex players wa mnyama wanahujumu timu.

Utafikili hao ex players tunawasajili sisi kwa niaba yao kumbe ni wenyewe wanakurupuka kuwanunua
 
Utafikili hao ex players tunawasajili sisi kwa niaba yao kumbe ni wenyewe wanakurupuka kuwanunua

Tuliwahadaa kama tunataka kumsajili mrwanda wakamkimbilia, matokeo yake mpaka sasa amechecheza mechi zaidi ya saba hajafunga goli. Sasa mechi ijayo anakutana na timu yake ya zamani, asipoifunga lazma wataanza kusema anahujumu timu.
 
Wachezaji wa zamani wa Simba wapo wengi tu Yanga. Kuna Kaseja, Yondani, Mrwanda, Ngasa na Tambwe. Bado kuna Msuva ambaye ni damu ya mnyama! Ndio wakome kusajili wachezaji wa Simba
 
Wachezaji wa zamani wa Simba wapo wengi tu Yanga. Kuna Kaseja, Yondani, Mrwanda, Ngasa na Tambwe. Bado kuna Msuva ambaye ni damu ya mnyama! Ndio wakome kusajili wachezaji wa Simba

Msuva ni "kijana wetu" mtiifu, yupo kandambili kwa kazi maalumu, akiimaliza anarejea nyumbani.
 
Wachezaji wa zamani wa Simba wapo wengi tu Yanga. Kuna Kaseja, Yondani, Mrwanda, Ngasa na Tambwe. Bado kuna Msuva ambaye ni damu ya mnyama! Ndio wakome kusajili wachezaji wa Simba
Ongezea na hawa: Ally Mustafa na Deogratius Munishi. Jumla wako saba.
 
Msuva ni "kijana wetu" mtiifu, yupo kandambili kwa kazi maalumu, akiimaliza anarejea nyumbani.

Hahaahahaha....hawajui kwamba msuva ni kijana wetu....Yanga bana....afu manji anawachuuza sana yule Kannjibhai
 
Back
Top Bottom