wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Hili ndio tatizo la watu wa Yanga, wao kila wanapofanya vibaya lawama zote ni kwa watu wa Simba kwamba wanawahujumu, Simba mbona imefanya vibaya toka mwaka juzi, mwaka jana na hata mwaka huu hali bado si nzuri lakini huwezi kusikia wanalaumu timu nyingine. Kwa Yanga wasipochukua ubingwa watasema timu iliyochukua ubingwa imehonga marefa (tulisikia haya kwa Azam mwaka jana).kuna habari ambazo kuna kiongozi wa juu wa simba anamtumia mchezaji wa zamani wa simba kuihujumu yanga kwa njia mbalimbali mchezoni amepewa na gari kwa kazi hiyo kumfuata refa popote tanzania akimaliza hapo anaenda kwa timu ambayo itacheza na yanga.kiongozi huyo na mchezaji majina yao nayafungia.
kiongozi huyo amejaribu kuishawisha azamfc mpango huo wamekataa
Duh tuseme kiongozi mechi ya juzi hata kama simba walimpa ela mwamuzi,how abt msuva aliyekosa magoli matatu ya wazi nae alipewa hongo?kuna habari ambazo kuna kiongozi wa juu wa simba anamtumia mchezaji wa zamani wa simba kuihujumu yanga kwa njia mbalimbali mchezoni amepewa na gari kwa kazi hiyo kumfuata refa popote tanzania akimaliza hapo anaenda kwa timu ambayo itacheza na yanga.kiongozi huyo na mchezaji majina yao nayafungia.
kiongozi huyo amejaribu kuishawisha azamfc mpango huo wamekataa
Mechi ijayo kandambili atakapotulizwa tena na maafande wa moro ataanza kusingizia kua ex players wa mnyama wanahujumu timu.
Utafikili hao ex players tunawasajili sisi kwa niaba yao kumbe ni wenyewe wanakurupuka kuwanunua
Wachezaji wa zamani wa Simba wapo wengi tu Yanga. Kuna Kaseja, Yondani, Mrwanda, Ngasa na Tambwe. Bado kuna Msuva ambaye ni damu ya mnyama! Ndio wakome kusajili wachezaji wa Simba
Ongezea na hawa: Ally Mustafa na Deogratius Munishi. Jumla wako saba.Wachezaji wa zamani wa Simba wapo wengi tu Yanga. Kuna Kaseja, Yondani, Mrwanda, Ngasa na Tambwe. Bado kuna Msuva ambaye ni damu ya mnyama! Ndio wakome kusajili wachezaji wa Simba
Msuva ni "kijana wetu" mtiifu, yupo kandambili kwa kazi maalumu, akiimaliza anarejea nyumbani.
Yanga kwa visingizio bana
Hawajambo
Eti wanataka wajitoe kwenye ligi kisa faulu za kawaida za uwanjani
Yanga timu ya CCM