cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve ila usikimbie hiyo siku wallah.Nasema tena hatuna kifo cha kiumeee tukutane tarehe 3 ya fainali.
Simba endeleeni na katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve ila usikimbie hiyo siku wallah.Nasema tena hatuna kifo cha kiumeee tukutane tarehe 3 ya fainali.
Simba endeleeni na katiba mpya
Wewe pamoja na kutolewa mbona haujakimbia 🤣🤣🤣 ila kalpana naona kapaki hataki kujitokeza kutuangalia yanga tulivofika kileleni kwa kishindo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve ila usikimbie hiyo siku wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sawa tusubiri hiyo tar 3.Wewe pamoja na kutolewa mbona haujakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kalpana naona kapaki hataki kujitokeza kutuangalia yanga tulivofika kileleni kwa kishindo
Aibu kelele nyingi mpira mdogoBora sisi tunaenda Algeria na uhakika wa medali upo, nyie nendeni kwa waganga mkaveshwe hirizi.
Na kama ni ndoto pia hata hio sifuri haipo kabisaa!!Mkuu unasema ni ndoto halafu hapo hapo unasema kuna asilimia 30% za ushindi. Sema zipo 0% sababu tayari ni ndoto.
Mpira mdogo na tunacheza final?Aibu kelele nyingi mpira mdogo