Yanga mnaenda Algeria kuvaa medali sio kuleta kombe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve ila usikimbie hiyo siku wallah.
Wewe pamoja na kutolewa mbona haujakimbia 🤣🤣🤣 ila kalpana naona kapaki hataki kujitokeza kutuangalia yanga tulivofika kileleni kwa kishindo
 
Mwandishi haraka ya nin tulia andika vizuri.
Unakua kama unakimbizwa na mimbwaa ya uzunguni.
 
Wewe pamoja na kutolewa mbona haujakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kalpana naona kapaki hataki kujitokeza kutuangalia yanga tulivofika kileleni kwa kishindo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sawa tusubiri hiyo tar 3.
 
Itakuwa ni hatua kubwa sana kwenye soka na timu yetu.
 
Mkuu unasema ni ndoto halafu hapo hapo unasema kuna asilimia 30% za ushindi. Sema zipo 0% sababu tayari ni ndoto.
Na kama ni ndoto pia hata hio sifuri haipo kabisaa!!
 
Reactions: Tsh
Jf masijala kazi yetu ni kutunza risiti tu..[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…