Ngoja tuone mwisho wa hii mtifuano itakuwajeTFF inaendesha Mambo yake kwa kuzingatia kanuni na sheria. Ni sawa.
Lkn ni mara nyingi sana TFF imekuwa ikifumbia macho makosa mengi ya ukiukwaji wa kanuni na sheria zake yanayofanywa na vilabu vyetu, vikiwemo Yanga na Simba.
Ni muktadha huo wa kubebana na kuchukuliana ndiyo TFF iliutumia kusukuma mbele kwa masaa mawili mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yqnga.
Kitendo cha Yqnga kuikqba koo TFF kinamaliza enzi za kuchukuliana na kubebana. Yanga inaiambia TFF kwamba Sasa izifuate kqnuni zake kwa 100%. Hapa naona atakayeumia ni Yanga, maqna TFF wameahikilia mpini.
Umeona eeeh!!? Acha tusubirie. Maana bosi wa TFF ana vinasaba vya kisomali (al shabab...a.k.a kijana asiyeshindwa).Ngoja tuone mwisho wa hii mtifuano itakuwaje
Ni mwendo wa “q” badala ya “a” mnatuaribia lugha yetu
Serikali iwaajiri sasa walimu wa artsHivi kwa uandishi huo na wewe unajiona uko sahihi? Dume nzima ovyo. Umeshindwa hata kuhakiki ulichokiandika?
Ni lini TFF iliivumilia Yanga?TFF inaendesha Mambo yake kwa kuzingatia kanuni na sheria. Ni sawa.
Lkn ni mara nyingi sana TFF imekuwa ikifumbia macho makosa mengi ya ukiukwaji wa kanuni na sheria zake yanayofanywa na vilabu vyetu, vikiwemo Yanga na Simba.
Ni muktadha huo wa kubebana na kuchukuliana ndiyo TFF iliutumia kusukuma mbele kwa masaa mawili mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yqnga.
Kitendo cha Yqnga kuikqba koo TFF kinamaliza enzi za kuchukuliana na kubebana. Yanga inaiambia TFF kwamba Sasa izifuate kqnuni zake kwa 100%. Hapa naona atakayeumia ni Yanga, maqna TFF wameahikilia mpini.
Achaa chukii alshababu imetokewa wapiiUmeona eeeh!!? Acha tusubirie. Maana bosi wa TFF ana vinasaba vya kisomali (al shabab...a.k.a kijana asiyeshindwa).
Hakuna kitu Kama hicho, kanuni lazima zifuatweTFF inaendesha Mambo yake kwa kuzingatia kanuni na sheria. Ni sawa.
Lkn ni mara nyingi sana TFF imekuwa ikifumbia macho makosa mengi ya ukiukwaji wa kanuni na sheria zake yanayofanywa na vilabu vyetu, vikiwemo Yanga na Simba.
Ni muktadha huo wa kubebana na kuchukuliana ndiyo TFF iliutumia kusukuma mbele kwa masaa mawili mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yqnga.
Kitendo cha Yqnga kuikqba koo TFF kinamaliza enzi za kuchukuliana na kubebana. Yanga inaiambia TFF kwamba Sasa izifuate kqnuni zake kwa 100%. Hapa naona atakayeumia ni Yanga, maqna TFF wameahikilia mpini.
Kama TFF walipokea maaagizo toka serikalin kuhusu mabadiliko ya muda basi yanga wameigomea serikali........TFF inaendesha Mambo yake kwa kuzingatia kanuni na sheria. Ni sawa.
Lkn ni mara nyingi sana TFF imekuwa ikifumbia macho makosa mengi ya ukiukwaji wa kanuni na sheria zake yanayofanywa na vilabu vyetu, vikiwemo Yanga na Simba.
Ni muktadha huo wa kubebana na kuchukuliana ndiyo TFF iliutumia kusukuma mbele kwa masaa mawili mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yqnga.
Kitendo cha Yqnga kuikqba koo TFF kinamaliza enzi za kuchukuliana na kubebana. Yanga inaiambia TFF kwamba Sasa izifuate kqnuni zake kwa 100%. Hapa naona atakayeumia ni Yanga, maqna TFF wameahikilia mpini.
Ndiyo kama ilikuwa nje ya kanuni ni sawa kuigomea hawataki janja janjaKama Tff walipokea maaagizo toka serikalin kuhusu mabadiliko ya muda bac yanga wameigomea serikal ........
TFF inaendesha Mambo yake kwa kuzingatia kanuni na sheria. Ni sawa.
Lkn ni mara nyingi sana TFF imekuwa ikifumbia macho makosa mengi ya ukiukwaji wa kanuni na sheria zake yanayofanywa na vilabu vyetu, vikiwemo Yanga na Simba.
Ni muktadha huo wa kubebana na kuchukuliana ndiyo TFF iliutumia kusukuma mbele kwa masaa mawili mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yqnga.
Kitendo cha Yqnga kuikqba koo TFF kinamaliza enzi za kuchukuliana na kubebana. Yanga inaiambia TFF kwamba Sasa izifuate kqnuni zake kwa 100%. Hapa naona atakayeumia ni Yanga, maqna TFF wameahikilia mpini.
Sasa mssitupigie kelele nendeni mkaandamane kuelekea mtumba ilipo wizara ya michezo ..kama shabiki yenu alitembea toka kigomaa mpaka dsm sasa na nyie zamu yenu mfike walau dodoma tuNdiyo kama ikikuwa nje ya kanuni ni sawa kuigomea hawataki janja janja
Hatuandamani ndiyo tushamaliza hivyo, nina imani tff hawatsrudia ujinga tena wamejifunza kuzingatia kanuni kuanzia sasa.Sasa mssitupigie kelele nendeni mkaandamane kuelekea mtumba ilipo wizara ya michezo ..kama shabiki yenu alitembea toka kigomaa mpaka dsm sasa na nyie zamu yenu mfike walau dodoma tu