Mambo ya kujionesha tumewaachia simbaHivi Yanga mnakwama wapi? Ikiwa leo Klabu ya Yanga inaandika historia nyingine ya kuwachagua viongozi wapya na imara, ambao wanaotarajiwa kuipeleka mbele zaidi Yanga na kuleta maendeleo ili klabu iwe kama Simba SC ambayo imeonyesha njia ambayo kuiga si dhambi.
Sasa kwanini basi uchaguzi huu mkuu muhimu, usifanyike kwenye ukumbi wa Kimataifa Julius Nyerere International Convention Center kama Simba SC, ili kuupa hadhi uchaguzi huu na vile vile kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ya kufahamu kwamba historia iliandikwa hapa.?View attachment 1088759View attachment 1088760View attachment 1088761View attachment 1088762
Nakufananisha na mwanamke MalayaHivi Yanga mnakwama wapi? Ikiwa leo Klabu ya Yanga inaandika historia nyingine ya kuwachagua viongozi wapya na imara, ambao wanaotarajiwa kuipeleka mbele zaidi Yanga na kuleta maendeleo ili klabu iwe kama Simba SC ambayo imeonyesha njia ambayo kuiga si dhambi.
Sasa kwanini basi uchaguzi huu mkuu muhimu, usifanyike kwenye ukumbi wa Kimataifa Julius Nyerere International Convention Center kama Simba SC, ili kuupa hadhi uchaguzi huu na vile vile kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ya kufahamu kwamba historia iliandikwa hapa.?View attachment 1088759View attachment 1088760View attachment 1088761View attachment 1088762
Tumefanya kulingana na kipato chetu.Unataka kusema hapo nyie mmejificha? Hamuonekani mtani?
Kwani Simba mlilipia nyie?
Alilipa Mooo situka broo kilakitu sasa anafanya moo kazi yenu ni kuachamatu gooo.
Tumefanya kulingana na kipato chetu.
Ninyi kila kitu alifanya Mo
Ukiwa na hasira hutoelewa hapo. Kafue chupi halafu uje tena aisee..!
Mbumbumbu fc wakiwa kwenye moja ya mikutano yao bwalo la polisiAsante mkuu, lakini wanasema Yanga ni ya wananchi kwahivyo wanaweza kuchukua hata ukumbi wa Milimani City
Ndo maana kuiga kizuri si mbaya..Kwahivyo sasa Simba Kimataifa zaidi na wewe twende Kimataifa.Atawao walitokea huku wamshukuru mdosi View attachment 1088858View attachment 1088861View attachment 1088867