Yanga mnakwama wapi? Kwanini uchaguzi msifanyie ukumbi wa kimataifa kama Simba?

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Hivi Yanga mnakwama wapi? Ikiwa leo Klabu ya Yanga inaandika historia nyingine ya kuwachagua viongozi wapya na imara, ambao wanaotarajiwa kuipeleka mbele zaidi Yanga na kuleta maendeleo ili klabu iwe kama Simba SC ambayo imeonyesha njia ambayo kuiga si dhambi.

Sasa kwanini basi uchaguzi huu mkuu muhimu, usifanyike kwenye ukumbi wa Kimataifa Julius Nyerere International Convention Center kama Simba SC, ili kuupa hadhi uchaguzi huu na vile vile kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ya kufahamu kwamba historia iliandikwa hapa.?
IMG_20190505_134440_950.jpeg
IMG_20190505_134249_111.jpeg
IMG_20190505_134352_730.jpeg
IMG_20190505_134313_404.jpeg
 
Hivi Yanga mnakwama wapi? Ikiwa leo Klabu ya Yanga inaandika historia nyingine ya kuwachagua viongozi wapya na imara, ambao wanaotarajiwa kuipeleka mbele zaidi Yanga na kuleta maendeleo ili klabu iwe kama Simba SC ambayo imeonyesha njia ambayo kuiga si dhambi.

Sasa kwanini basi uchaguzi huu mkuu muhimu, usifanyike kwenye ukumbi wa Kimataifa Julius Nyerere International Convention Center kama Simba SC, ili kuupa hadhi uchaguzi huu na vile vile kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ya kufahamu kwamba historia iliandikwa hapa.?View attachment 1088759View attachment 1088760View attachment 1088761View attachment 1088762
Mambo ya kujionesha tumewaachia simba
 
Nakufananisha na mwanamke Malaya
 
Aibu Sana Yani kwa kuwa wao ni wamchangani ndio wameamua kwenda kibanda umiza?
 
Kwani Simba mlilipia nyie?
Alilipa Mooo situka broo kilakitu sasa anafanya moo kazi yenu ni kuachamatu gooo.

Tumefanya kulingana na kipato chetu.
Ninyi kila kitu alifanya Mo

Sasa hiyo timu si ni ya wananchi..!?
Mmeshindwaje kujichanga ili mfanyie sehemu classic yenye hadhi...?!
Ni bora basi angalao simba wangafanyia hapo kwenye makuti maana si ya wananchi...(kama msemavyo)
...wananchi mmetia aibu, hata popcorn hamna..!?
 
Kupitia maneno ya kampeni za wagombea hao wiki hii, ndio nimejua kumbe Yanga ina wanachama elfu saba tu nchi nzima
 
Back
Top Bottom