Yanga mnapata wapi nguvu ya kubishana na klabu namba tano Afrika?

Revolution 22

Member
Joined
Jun 11, 2021
Posts
63
Reaction score
141
Hivi nyie Utopolo a.ka Gongowazi, mnapataga wapi ujasiri hata wa kubishana tu na watu wa timu namba tano Africa kwa ubora? Level zenu ni Ihefu, Dodoma na KMC, hao ndio mnaweza kubishana nao. Next time tutaongea kwa viboko mkiendelea kumuongelea mnyama mkali Africa.
 
Hivi imekuaje timu namba tano ikaenda kucheza luza kapu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…