Nusu fainali?[emoji90][emoji90][emoji90]Hivi hawa vyura wana matatizo ya akili ama sasa kigezo kipi mnakitaka maana.
Simba msimu uliopita alikuwa bingwa msimu huu kafika nusu fainali ya CAF Champions League kwenye ligi amewafunga mechi moja mmedraw moja.
Au mnataka mkatembeze bakuli lenu?
Yanga wakanunue jezi za Sevilla wajiandae kushangilia maana ndio kazi wanayoiweza
Najua una u admire "mkia"Inasikitisha sana uzi muanzishe nyie na povu mlimwage nyie.
MIKIA BWANA.
Nilivyoona quote yako tu nkajua ulichokiandika si salama. πππNajua una u admire "mkia"
Mtani ee nakuona kabisa ukihamia kwa mkopo Sevilla au utakuwa na sisi siku hiyo?Inasikitisha sana uzi muanzishe nyie na povu mlimwage nyie.
MIKIA BWANA.
Hahaaaa. Kwa hizi figisu figisu zao nitakuwa Sevilla. ππ Halina ubishi hilo Mtani.Mtani ee nakuona kabisa ukihamia kwa mkopo Sevilla au utakuwa na sisi siku hiyo?
Nusu fainal mkuu, au umesahau kichapo Cha mazembe ilikua robo fainalHivi hawa vyura wana matatizo ya akili ama sasa kigezo kipi mnakitaka maana.
Simba msimu uliopita alikuwa bingwa msimu huu kafika nusu fainali ya CAF Champions League kwenye ligi amewafunga mechi moja mmedraw moja.
Au mnataka mkatembeze bakuli lenu?
Mkuu samahani et,unaweza kuniambia Simba ilicheza nusu fainali na timu gani?..Hivi hawa vyura wana matatizo ya akili ama sasa kigezo kipi mnakitaka maana.
Simba msimu uliopita alikuwa bingwa msimu huu kafika nusu fainali ya CAF Champions League kwenye ligi amewafunga mechi moja mmedraw moja.
Au mnataka mkatembeze bakuli lenu?
Duuh sawa mtani tuombe uzima tu.Hahaaaa. Kwa hizi figisu figisu zao nitakuwa Sevilla. ππ Halina ubishi hilo Mtani.
Insha Allah. Tuombe uzima kwa kweli Mtani.Duuh sawa mtani tuombe uzima tu.