Yanga mnataka kigezo gani cha Simba kucheza na Sevilla

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Hivi hawa vyura wana matatizo ya akili ama sasa kigezo kipi mnakitaka maana.

Simba msimu uliopita alikuwa bingwa msimu huu kafika robo fainali ya CAF Champions League kwenye ligi amewafunga mechi moja mmedraw moja.

Au mnataka mkatembeze bakuli lenu?
 
yanga wanamalalamiko kama mwanamke asie na kizazi...
 
Sasa mbona Yanga wanapewa pesa nyingi zaidi kwenye mkataba
 
Hivi hawa vyura wana matatizo ya akili ama sasa kigezo kipi mnakitaka maana.

Simba msimu uliopita alikuwa bingwa msimu huu kafika nusu fainali ya CAF Champions League kwenye ligi amewafunga mechi moja mmedraw moja.

Au mnataka mkatembeze bakuli lenu?
Nusu fainali?[emoji90][emoji90][emoji90]
 
Vyura
IMG_20190430_203230_867.jpeg
 
Kama vigezo vilikua ni hvyo kwann mkapoteza mda kwenda kukaa na tff kupoteza mda?

Rupia imepenyezwa
 
Hivi hawa vyura wana matatizo ya akili ama sasa kigezo kipi mnakitaka maana.

Simba msimu uliopita alikuwa bingwa msimu huu kafika nusu fainali ya CAF Champions League kwenye ligi amewafunga mechi moja mmedraw moja.

Au mnataka mkatembeze bakuli lenu?
Nusu fainal mkuu, au umesahau kichapo Cha mazembe ilikua robo fainal
 
Hivi hawa vyura wana matatizo ya akili ama sasa kigezo kipi mnakitaka maana.

Simba msimu uliopita alikuwa bingwa msimu huu kafika nusu fainali ya CAF Champions League kwenye ligi amewafunga mechi moja mmedraw moja.

Au mnataka mkatembeze bakuli lenu?
Mkuu samahani et,unaweza kuniambia Simba ilicheza nusu fainali na timu gani?..
 
Back
Top Bottom